Mambo yako wazi afandeWakibanwa hao wavamizi watasema nini kawatuma na walikuwa wanalengo gani??
msigwa kasema max analeta taharuki,Wakibanwa hao wavamizi watasema nini kawatuma na walikuwa wanalengo gani??
Wastage of timeHata kama ni serikali wafuate utaratibu wa kuingia kwenye ofisi za watu na sio kuvamia hovyo hovyo tu
Nashauri mwanasheria wa JF afungue kesi zidi ya wavamizi hao
Ikibidi tuhame ofisi iwe nchi jirani kenyaWalaaniwe wote waliofanya hiki kitu hata wakizima jf tutaendelea kuwepo kwa VPN long live JamiiForums long live Maxence Melo na timu yako yote
Waje tu maana bando hawaninunuliii ni languMax mwenyewe kashaingia ubia na sirikali sasa jichanganye ulikoroge humu ukiamini unatumia jina bandia afu kesho uamke ukute nyumba yako imezungukwa na jamaa wa kaki huku wakikuamuru ufungue mageti na wanakuita jina lako lililoko kwenye NIDA kwamba una kesi ya kuzua taharuku kwenye mitandao ndio utakapojua kwamba ni kasongo mbona wewo