JF wafungue kesi ya kuvamiwa ofisi zao ziliopo mikocheni Dar

Max mwenyewe kashaingia ubia na sirikali sasa jichanganye ulikoroge humu ukiamini unatumia jina bandia afu kesho uamke ukute nyumba yako imezungukwa na jamaa wa kaki huku wakikuamuru ufungue mageti na wanakuita jina lako lililoko kwenye NIDA kwamba una kesi ya kuzua taharuku kwenye mitandao ndio utakapojua kwamba ni kasongo mbona wewo
 
Waje tu maana bando hawaninunuliii ni langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…