Superman! Heshima sana kwako...MKJJ bado anaongoza!
dah basi macho yangu yana kigugumiziMax Shimba yumo humu humu, hajaenda popote, fungueni macho mtamuona!
jamani mbona sijaridhishwa na idadi ya wapiga kura?
A woman is like a tea bag: you cannot tell how strong she is until you put her in hot water
A woman is like a tea bag: you cannot tell how strong she is until you put her in hot water
Superman! Heshima sana kwako...
I have tried to refrain from posting kwenye hii thread lakini nimeshindwa kwani kuna msemo usemao ukikaa na kijiba basi wewe ndo kijiba... Comparing MMM with anyone in the forum, even the founders or moderators would be quite unfair, he is an icon, and actually given a chance, i would expect we propose awards such as Mwanakijiji political contribution of the year or sauti ya kijiji poetry and lyrical personality award of the year; or ..you name it!!!
MMM is the icon
Now back to akina sie, though i am flattered, i am not sure i could be on the picture especially watu kama akina enigma, max, superman, waberoya, sikonge, kibunango pasco etc hawapo kwenye list
Nashukuru sana na nawasilisha
jamani mbona sijaridhishwa na idadi ya wapiga kura?
kwa kua kura ni Siri mi yangu inaenda kati ya Mwalimu wangu Gaijin na Mbunge wangu Regina..
Superman
Kwa hakika kabisa, MMK angeondolewa kwenye mtanange kamailivyokuwa imependekezwa na baadhi ya wadau.
MMK as Acid put it, is An Icon, huwezi anza kumlinganisha na memba wengine. Humtendei haki na memba wengine waliopendekezwa huwatendei haki vilevile.
Nyani Ngabu na Acid mpambano mkali.
NN unatakiwa ujibu hoja za TANMO.
kumbe ni public poll?
That tells it somehow Mr/Ms mwenyekiti