JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Nyani Ngabu na Acid mpambano mkali.

NN unatakiwa ujibu hoja za TANMO.
 
MKJJ bado anaongoza!
Superman! Heshima sana kwako...

I have tried to refrain from posting kwenye hii thread lakini nimeshindwa kwani kuna msemo usemao ukikaa na kijiba basi wewe ndo kijiba... Comparing MMM with anyone in the forum, even the founders or moderators would be quite unfair, he is an icon, and actually given a chance, i would expect we propose awards such as Mwanakijiji political contribution of the year or sauti ya kijiji poetry and lyrical personality award of the year; or ..you name it!!!

MMM is the icon

Now back to akina sie, though i am flattered, i am not sure i could be on the picture especially watu kama akina enigma, max, superman, waberoya, sikonge, kibunango pasco etc hawapo kwenye list

Nashukuru sana na nawasilisha
 
Mkuu Acid;

Hukujipendekeza wewe, umependekezwa na wadau katika kura za maoni. JF has spoken intially,

Sasa katika huu mtanange, kuna watu wanakuamini.

Hii kuingia katika mchuano peke yake ni sifa kubwa sana kwamba JF wewe unakubalika. Mengine si muhimu sana.
 
kwa kua kura ni Siri mi yangu inaenda kati ya Mwalimu wangu Gaijin na Mbunge wangu Regina..
 
Superman

Kwa hakika kabisa, MMK angeondolewa kwenye mtanange kamailivyokuwa imependekezwa na baadhi ya wadau.
MMK as Acid put it, is An Icon, huwezi anza kumlinganisha na memba wengine. Humtendei haki na memba wengine waliopendekezwa huwatendei haki vilevile.
 
Wakuu,

Ongeeni na MKJJ akikubali JEC haina kipingamizi.

Kama akikubali, basi itabidi tuanzishe thread ya kuvote kama awe ICON wa JF au la.

Kwa hili mnaweza kutoa maoni zaidi.
 
Naomba kuondolewa kwenye mtanange huu, ndio nimepitia nafasi ya kusoma. Nadhani ni vizuri kuwapambanisha kundi jipya la membaz hapa. Nadhani ukishapata heshima hii mara moja inatosha hasa ukizingatia tuna wanachama karibu elfu ishirini. Ninawashukuru wale walionipendekeza na ambao walinionigongea kunichagua. Nawatakia kila la kheri waliobakia.

NB: Naomba msianzishe ya uicon tena jamani. Status quo iwe maintained.
 
kwa kuwa mkuu MM ameamua kujitoa, Acid naye amejitoa na NN anatuhuma ambazo hajazijibu, basi taji hilo liende moja kwa moja kwa Kiranga maana hana pingamizi
 
Back
Top Bottom