JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Superman, it will be unfair to ask NN to respond to his queries, I believe u have a vetting process before the nominees r given chance to run, if he'd pass thru the vetting and we r now voting, its unfair to draw us back to allegations, if this is fair n free, mr NN has passed scot free..so let votin prevail, those pent up allegations shud have been brought to light when he was only a 'nominee' and then mngeengua jina lake, ss hv u just can't! And though I don't know him personnaly to support him as I had originally nominated WJ Malecela,I think he doesn't need ths now nor do we
 
nsiade nakubaliana na wewe, kwani mtu mpaka afike hapa si alikuwa na fikiria (nafikiria hivyo).

Pingamizi za namna hii zilipaswa kutolewa mwanzoni mwa mchakato vinginevyo limepitwa na wakati (time barred) . Tume ilipaswa kuweka wazi mambo kama haya mapema na si kuacha watu wajikurupukie tu wakati wowote wa kipindi cha uchaguzi. Vinginevyo na mwingine aende apendekeze member mwingine aingie kwenye kinyang'anyiro uone vile mambo yatakuwa hovyo hovyo.

Lakini nadhani ni hatua za kujifunza na wakati mwingine tume itaimarisha sheria za uchaguzi kwa kuzingatia changamoto zinazojitokeza.
 
Nsiade na Nightangale;

Maoni yenu ni sahihi na JEC iliyaona hayo mliyoeleza.

Hata hivyo NN anatuhumiwa pia katika mchakato huu unaoendelea mbali na ule wa awali. Kufuatana na Sheria za Uchaguzi JEC haiwezi kutoa maamuzi kwa kuangalia upande mmoja badala yake inahitaji utetezi kutoka kwa mgombea anyetuhumiwa.

Ingependeza sana badala ya kutetewa yeye mwenyewe angetoa hayo maelezo.
 
Companero;

kampeni haziruhusiwi kipindi hiki vinginevyo ikijirudia JEC itabdidi uchukue hatua kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi.
 
kwa kweli kura yangu ningempa Mzee mwanakijiji..
kwa sasa inakua ngumu, ila kwa hekima kidogo nlizonazo nitapiga kura!

Nami natangaza nia: Man of the year 2011
Nina imani si wingi wa comments that matters but the quality...watch this space!
 
Uchaguzi sio huru na haki. Kwa nini wagombea binafsi haturuhusiwi??? Haiwezekani majina yetu yalipendekezwa halafu NEC ya JF mkayakata!!!! Ngoja niwasiliane na wanasheria wangu ili tusimamishe hili zoezi mpaka haki itendeke kwa kuwaruhusu wagombea binafsi
 
kwa kweli kura yangu ningempa Mzee mwanakijiji..
kwa sasa inakua ngumu, ila kwa hekima kidogo nlizonazo nitapiga kura!

Nami natangaza nia: Man of the year 2011
Nina imani si wingi wa comments that matters but the quality...watch this space!
That is the spirit....Inshallah!
 
WAPENDWA
Naombeni mniondoe kwenye mchakato huu kwa sababu zifuatazo:
1. 2009 Nilibahatika kushirikishwa na nikawa "mshindi" - nawashukuruni wale wote walionipa heshima hii
2. 2010 - apatikane mwingine tena. JF tunapigania ushirikishwaji mpana wa watu wengi kwenye fursa mbalimbali.Kwangu mimi tayari ninazo fursa nyingi nje ya hapa na hivyo basi ningefurahi kuachia wenzangu wengine nao washiriki.
Asanteni kwa uelewa.

Asanteni

WoS; kama ilivyokuwa kwa MKJJ, JEC ilikaa na kulipitia ombi lako na kukubali kimsingi kuwa tukukubalia ujitoe kwa sababu ulizozianisha.

JEC imezingatia kuwa JF sasa hivi ina Wanachama (ID's) zinazofikia elfu 20 na ni vema kila mwaka wengine wakapata nafasi kama ambayo ulibahatika kuipata.

Kwa hayo machache JEC inakushukuru sana kwa moyo uliouonyesha ambao unafaa kuigwa.

Tutakuomba tu, uwepo kutoa hekima na busara wako wakati wa kukabidhi taji kwa mshindi wa 2010.

Wasalaam

JEC
 
WAPENDWA

Naombeni mniondoe kwenye mchakato huu kwa sababu zifuatazo:

1. 2009 Nilibahatika kushirikishwa na nikawa "mshindi" - nawashukuruni wale wote walionipa heshima hii

2. 2010 - apatikane mwingine tena. JF tunapigania ushirikishwaji mpana wa watu wengi kwenye fursa mbalimbali.Kwangu mimi tayari ninazo fursa nyingi nje ya hapa na hivyo basi ningefurahi kuachia wenzangu wengine nao washiriki.

Asanteni kwa uelewa.

Asanteni

Kufuatana na sheria na kanuni za Uchaguzi za JEC, kama ilivyokuwa kwa Mwanakijiji, JEC imeridhia ombi la WoS na ameondolewa katika ushiriki wa kuchaguliwa.

Piga kura yako hapa:

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/93053-jf-woman-of-the-year-2010-piga-kura-yako.html
 
Superman, JEC iangalie uwezekano wa kupata jina jingine la kuziba nafasi ya Mwanakijiji, namaanisha yale yaliyopigiwa kura na akawa na kura nyingi!

Ni wazo jema. Kuna upungufu moja ambao ni atakayeingia ataanza na zero wakati wenzie wako mbali. Labda kama Uchaguzi uanze upya.
 
Umewahi kuzipitia thread ulizozianzisha?

Tafakari. Chukua hatua kabla ya kupost.

huyu kiumbe cjui ana matatizo gani,juzi kati alikua ananichokoa mimi nikampotezea,leo naona kahamia kwako,nimefurahi ulivyomjibu.
anatia huruma!
 
Hawa waheshimiwa siwaelewi. ina maana hawataki kujadiliwa na kutathminiwa hapa jukwaani??
Ninawashauri wafikirie upya uamuzi wao. wanatuvunja mkono sisi washabiki wao.
 
Kwani kama mwakani ulichaguliwa ina maana huruhusiwi kuchaguliwa tena??? Au mnaogopa kushindwa na kuonekana umaarufu umeshuka???

Superman - una hoja ya kujibu kuhusu hoja ya mgombea binafsi. Soma thread tafadhali
 
QK hebu tusaidiane kuwahamasisha wadau watumie haki yao.

Cheers.

Mkuu Superman kwanza hongera kwa hili jambo ila nina malalamiko yangu kwa JEC kuhusiana na usiri wa Kura ukizingatia kwamba hapa JF watu ni washkaji sasa huoni kwamba kama nikiamua kumpa kura mtu nitampa kwa sababu ya ushkaji? Kwamba Ngabu anaweza kuona majina ya waliompigia kura huono kama hapo kuna tatizo na ndilo lilichongia watu engi wasijitokeze kupiga kura
 
Mkuu;

Ni kweli. Changamoto hiyo tumeiona na next time tutaifanyia kazi.
 
Kwani kama mwakani ulichaguliwa ina maana huruhusiwi kuchaguliwa tena??? Au mnaogopa kushindwa na kuonekana umaarufu umeshuka???

Superman - una hoja ya kujibu kuhusu hoja ya mgombea binafsi. Soma thread tafadhali

Mkuu nimekupata.

Swali la kwanza wenyewe watajibu. Ila JEC imeona sababu zao ni za msingi.

Kuhusu mgombea binafsi, hii hoja ni ya nguvu na nadhani itabidi next time mtu awe na namna ya kugombea binafsi kama ana nia ya kugombea.
 
Back
Top Bottom