JF X-Mass and Happy New Year wishes

Mh, usichukulie kila kitu serious sanaa[emoji23]


Uwe na sikukuu njema
Umejuaje kama nimechukulia serious? hivi anayeuliza na anayekasirikia watu humu JF ni yupi anayechukulia vitu serious? hivi umetafakari kwanza kabla ya kutoa huo ushauri? mimi nadhani wewe ndiye unayechukulia kila kitu serious.
 
Angalia yako mkuu yangu hayakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
JF is an open forums,ukiweka bandiko au comment hapa, basi inakua sio mali yako tena,mtu yeyote yupo huru kuchangia,kama hutaki watu kuchangia unayoyaleta humu ni bora uwe unawaandikia wakwenu huko ili muwe mnasoma na kuchangia huko huko kwenu tu.
 
Tehtehteh...

Kwa hiyo nitoke kwenye kiti nijikalie chini nitafakari Shadeeya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…