JF X-Mass and Happy New Year wishes

JF X-Mass and Happy New Year wishes

Mh, usichukulie kila kitu serious sanaa[emoji23]


Uwe na sikukuu njema
Umejuaje kama nimechukulia serious? hivi anayeuliza na anayekasirikia watu humu JF ni yupi anayechukulia vitu serious? hivi umetafakari kwanza kabla ya kutoa huo ushauri? mimi nadhani wewe ndiye unayechukulia kila kitu serious.
 
Angalia yako mkuu yangu hayakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
JF is an open forums,ukiweka bandiko au comment hapa, basi inakua sio mali yako tena,mtu yeyote yupo huru kuchangia,kama hutaki watu kuchangia unayoyaleta humu ni bora uwe unawaandikia wakwenu huko ili muwe mnasoma na kuchangia huko huko kwenu tu.
 
Mi kwangu iende kwa wana JF wote na ujumbe mkubwa kwangu ni wote tukae chini na kutafakari je tunaishi kwa malengo na je malengo ya mwaka huu unaoisha tumeyatekeleza kwa asilimia ngapi? [emoji848]

Tukishayajua yote hayo yabidi sasa mwaka mpya ukianza yasiyoisha tuyamalizie huku tukiwa na malengo mapya ya 2020. Na kwa wale msio ishi kwa malengo muda ndio huu wa kupanga kipi unadhamiria kufanya kwa mwaka ujao.

Happy new year in advance.
Tehtehteh...

Kwa hiyo nitoke kwenye kiti nijikalie chini nitafakari Shadeeya?
 
Back
Top Bottom