The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Umejuaje kama nimechukulia serious? hivi anayeuliza na anayekasirikia watu humu JF ni yupi anayechukulia vitu serious? hivi umetafakari kwanza kabla ya kutoa huo ushauri? mimi nadhani wewe ndiye unayechukulia kila kitu serious.Mh, usichukulie kila kitu serious sanaa[emoji23]
Uwe na sikukuu njema