Jibondo Mafia yafikiwa na umeme, wananchi zaidi ya 3,000 kunufaika

Jibondo Mafia yafikiwa na umeme, wananchi zaidi ya 3,000 kunufaika

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20260921-WA0018.jpg


Mradi wa umeme wenye thamani ya Sh bilioni 8.4 unaotekelezwa na TANESCO katika Jibondo, Mafia – Pwani, umefikia asilimia 82 ya utekelezaji. Mradi huo unatarajiwa kuwafikishia umeme wananchi zaidi ya 3,000 na kuchochea shughuli za uvuvi, biashara pamoja na uchakataji wa mazao ya baharini, huku ukiboresha huduma na maisha ya wananchi.
 
Back
Top Bottom