Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nimecheka Sana.Swali: Vipi kuhusu mil 50 kila kijiji itaanza kutolewa lini?
Jibu: Haturuhusu siasa hadi 2020
Swali:Je tupate mapumziko mafupi ndo tuendelee?Aiaee mmenifanya nicheke asubuhi Asubuhi kwenye gari mpaka naonekana kichaa.
NB.RUGE TUSHAMMALIZA KABISA
Swali:Ni kweli uliikimbia kamati ya Nape?Swali: Mh. Bashite tupe historia ya elimu yako
Jibu: Ruge tumemkomesha
Swali:Ni kweli ulivamia Clouds?swali : Vijana wa Clouds wanasema ulikuwa unawa-bore sana ukienda studio kwasababu unanuka miguu na mdomo, ni kweli?
jibu: Hii vita ya madawa ya kulevya hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe.
Swali:Ni wapi alipo Roma mkatoliki?Swali: Inasemekana mliwakamata waandishi wa habari mkawapandisha defender mkaenda nao central
Jibu: Sio kweli tuliwapa lift tu
Swali:Je mauaji ya kibiti ni ugaidiHahahahahaha
Bêst qns....best Ans... só far...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Swali: Inasemekana mliwakamata waandishi wa habari mkawapandisha defender mkaenda nao central
Jibu: Sio kweli tuliwapa lift tu