Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

Swali:Nasikia tumeagiza chakula cha msaada??
Jibu:Serengeti boys wamejitahidi sana wanastahili pongezi.
 
swali>> BASHITE NI KONDAKTA??
jibu>> TERENI RA MWENDO KASI RITAISHIA MROGORO
 
swali.
>>a mheshimiwa unazungumziaje kashfa ya kufoji vyeti.

jibu:
>>hakiya Mungu nawaambieni ningekuwa mimi wale wanaoandamana kudai nyongeza ya mishahara ningewachapa viboko...
 
Swali. Mh. Rais kwanini umezuia Watu kufanya Siasa mpaka 2020

Jibu: Mayala ki kwetu maana yake ni Njaa!

Swali: Ile Kesi ya kumshtaki Makonda Mahakamni imeishia wapi?

Jibu: hatujatendewa haki kunyimwa Mike Msibani!

Swali: unazungumziaje Kujiuzulu kwa Mwnykt wenu Yusuph Manji?

Jibu: Mwaka wa Sita huu Simba hawajawahi kuchukua Kombe

Swali:Unazungumziaje kutumuliwa kwny Uwaziri wa Habari?

Jibu: Oneni Jeraha hiki Mkononi! Mie nimekitoa Chama shimoni kilikuwa kinakufa
 
Swali:unamfahamu askofu Gwajima.
Jibu:mimi nilikua najiandaa kusherekea mwaka mmoja wa ukuu wa mkoa na nilipita pale maji yameshuka bei kwa unit maharage ya mbea ni matamu sana ndio maana nimevimbiwa na madaraka.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona mnajiuliza wenyewe
Hii inatakiwa we unauliza mi najibu haya twende

Mheshimiwa.. Usitishwaji wa ajra mpaka lini?
 
Unaniuliza kwani mimi nilimuwepo kwa faru john kuhamia dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…