Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

Mbona mnajiuliza wenyewe
Hii inatakiwa we unauliza mi najibu haya twende

Mheshimiwa.. Usitishwaji wa ajra mpaka lini?
Mm ndio mkuu wa inji pesa zote ni za kwangu kwa hiyo nazitumia nnavyotaka,,na ki kwetu mayala ina maana ya njaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Swali: Pantoni uliyonunua kusafirisha abiria kati ya Bagamoyo-Dar tumeambiwa ni mbovu,unasemaje
Jibu: Nimelikabidhi kwa jeshi,endeleeni na uchochezi wenu,mtaona moto
 
Swali: Mheshimiwa kwani wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya huwa wanateuliwa kwa kutumia vigezo vipi..

Jibu: Mimi huwa sipangiwi... Na tena ukijaribu kunilazimisha ndo umeharibu kabisaa....
 
Mheshimiwa uliahidi elimu bure au elimu bila malipo?....
 
Wakuu mmetisha sana!!

Mtu mwingine ambaye huwa anajibu OP ni PM Majaliwa kwenye maswali ya papo kwa hapo ya kila Alhamisi
 
hahahaaa comments za humu ndani, si za nchi hii..!!
 
Swali : Mheshimiwa mbona ulisema hutoteua mpinzani hata kwa nafasi moja serikalini..??
Jibu : Watu lazima wajue, nilizungumza nikiwa Zanzibar...!!
 
Swali: Tunasikia una miliki IPhone-7 lakini huwa huweki bando...!?



Jibu: Ni sawa na mwanaume kumiliki demu mkali halafu hana nguvu za kiume.....
 
Swali:kwa nini Kibiti watu wanafarik sana kwa risasi
Jibu:kamuulize IGP mstaafu
 
kweli vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumwacha mtu salama..
 
Swali: Tunasikia una miliki IPhone-7 lakini huwa huweki bando...!?



Jibu: Ni sawa na mwanaume kumiliki demu mkali halafu hana nguvu za kiume.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…