Mm ndio mkuu wa inji pesa zote ni za kwangu kwa hiyo nazitumia nnavyotaka,,na ki kwetu mayala ina maana ya njaaMbona mnajiuliza wenyewe
Hii inatakiwa we unauliza mi najibu haya twende
Mheshimiwa.. Usitishwaji wa ajra mpaka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm ndio mkuu wa inji pesa zote ni za kwangu kwa hiyo nazitumia nnavyotaka,,na ki kwetu mayala ina maana ya njaaMbona mnajiuliza wenyewe
Hii inatakiwa we unauliza mi najibu haya twende
Mheshimiwa.. Usitishwaji wa ajra mpaka lini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]SWALI: Mh. Raisi Wananchi wanadai kwamba eti wewe ni dikteta?
JIBU: Saddam Hussein ni raisi wa KUWAIT.
Yeap, ganja galFun Lol nimecheka mwanzo mwisho shukranii mwanzisha thread
Kesho ntafungua ujenzi wa reli ktk standard gageHivi mleta mada ulikua unawaza nini wakati unaandika?
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali: Tunasikia una miliki IPhone-7 lakini huwa huweki bando...!?
Jibu: Ni sawa na mwanaume kumiliki demu mkali halafu hana nguvu za kiume.....