Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

Swali: unatuhumiwa KUWA na vyeti feki.

Jibu: natuhumiwa KUWA shoga pia

Swali: ni kweli ulimpiga mzee Warioba?

Jibu: vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama

Swali: unaweza kututajia wanafunzi watatu uliosoma nao sekondari?

Jibu: vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama

Swali: una lipi la kuongea kuhusu askari aliyemtolea Mh. NAPE bastola

Jibu: aliyemtolea NAPE bastola HAKAMATIKI
 
Swali: Inasemekana mliwakamata waandishi wa habari mkawapandisha defender mkaenda nao central

Jibu: Sio kweli tuliwapa lift tu
Bêst qns....best Ans... só far...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom