Jicho la Tatu: Bashite na Diamond rudini studio Upya,Tumewasitukia

Nimetoka kusikiliza wimbo mpya wa Diamond sasa hivi..,

Diamond (I'm not his fan though, nasikiliza nyimbo zake tu) kaimba "ufala" mwingi sana hapo ndani.., ukitulia na kusikiliza vyema huo wimbo.., tayari amekuwa sided na upande fulani katika hili.., amechagua upande, ingawa amewaficha wasikilizaji wake.., ukiwa inaendeshwa na "ufuasi" ukisikiliza wimbo huu unanasa mara moja..

Sikiliza kuna sehemu Diamond anasema _*"badala ya kutafuta senti, wanabishana tu kuhusu mambo ya vyeti.."*_ anaendelea tena, _*"media pande zote wanalalama kiongozi atoke..."*_

.., hapo ndio unagundua yuko upande upi.., yaani Diamond haoni umuhimu wa "kudai vyeti" isipokuwa anamtetea rafiki yake (Bashite)

Pia, jana kabla ya kusambaa kwa wimbo wake huo, kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika upuuzi, aliandika kuhusu Mange Kimambi (though hakutaja jina) katika bandiko hilo ameweka picha yake akiwa na Daudi Albert Bashite.., still bado mnashindwa kuunganisha dots kwenye hili suala!?

Kitu kingine., ROMA na wenzake wamepotea tarehe 5 halafu jana tarehe 7 wimbo wa Diamond Umetoka wenye kuzungumza kuhusu ROMA.., sasa baada ya hapo tazama haraka ya meneja wake (Babu-Talent) kuwakutanisha wasanii na kutaka wakamuone Bashite.., this thing is staged to overwhelm Bashite and atleast to flame him on this.., anatafuta ushujaa..

Binafsi nafikiri, wimbo huo wa Diamond, umekuja kwa mikakati rasmi, anataka kurejesha mjadala wa Bashite kujadiliwa, huu mpango unatumiwa na WASAFI kwa kutumia package ya mashabiki wao.., Diamond kapiga hesabu, huu ni Mkakati wao (WCB na Bashite)., wanataka wimbo huo wenye jina la Bashite ndani usikilizwe, uchezwe redioni ma mitaani, Diamond kaamua "kujilipua" kumsaidia rafiki yake kwenye hili..

Wimbo huu ni maalum kuwafanya watanzania kumchukia Askofu Gwajima na Mange Kimambi ambao kimsingi ni watu wamecheza na Bashite mguu-kwa-mguu.., wimbo huu una ujumbe hasi kwa watu wawili hao, usikilize tena.,

tulieni na muunganishe dot na mtaelewa, Diamond anawatumia na anatumika.., atafanya biashara hapo na atakuwa amefanikiwa kuhamisha mjadala wa kudai vyeti.., wala sio kwamba anasema kuhusu ROMA.., ninyi mashabiki wake milioni 2 mkinunua wimbo huo kwa Tsh 300/= bwana Nassibu anakuwa amekomba tsh 600,000,000/= Shtukaaaa!

Anyways..., hizi mambo za kutekana katika jiji la Mzizima.., ipo siku "watatekana" wenyewe kwa wenyewe na siri zitatoka., maana hizo shughuli zimekithiri sasa.., Diamond anasema anatamani kusema lakini amefundishwa kunyamaza.., kuna mengi ya "ovyo" labda anayafahamu.., muda ni rafiki mzuri..
 
Unadai Vyeti unataka kumpa kazi! Kama unadhani kaiba nenda mahakamani kafungue kesi ili mahakama itoe hukumu. Vyeti havidaiwi kwenye mitandao, we nani kakuulizia cheti chako humu. NENDA MAHAKAMANI haki utaipata kama ni yako lakini!
Halafu Meya wao si kaenda kumshtaki tayari? Kwa nini wasiende kwa Meya kupata mrejesho? Hii Nchi vilaza ni wengi. Watu mnatumiwa na makahaba walioko ughaibuni na midume mizima inaingia King. Fanyeni kazi acheni porojo
 
Kila mtu na uhuru wake wa kufanya kitu. Wewe umehamasisha lipi kwa yanayoendelea Tanzania kwa sasa? Anza kampeni ukiwa umeshika bango kuelekea ikulu sio blablaa za jf tu
Uhuru wa mawazo
 
Sasa wewe mama bashite unayajua maisha yangu?. Nyinyi ndiyo kula kulala na kukesha jf mkimtetea jambazi bashite. Hukuwa na sababu za kupitia kwenye uzi.
Ungekuwa namaisha yako usingeendelea kumjadili mtu ambae huna uwezo wa kumtoa alipo
 
Wewe tupe elimu yako tuone. Na kama unayo ni ile ya kufanyiwa mtihani. Stupid minds, fanyeni kazi. Kulalamika na kuwa wafuasi wa makahaba yanayoishi ughaibuni gakutawasaidia.
 
Somo kwamba Mange ndiyo kawagombanisha Bashite na Gwajima??
yani anamaamisha Mange ndiyo kamtuma Bashite avamie clouds Media na silaha za vita kuwatisha wanahabari warushe kipindi cha kumchafua Gwajima?
 
Sasa wewe mama bashite unayajua maisha yangu?. Nyinyi ndiyo kula kulala na kukesha jf mkimtetea jambazi bashite. Hukuwa na sababu za kupitia kwenye uzi.
Ungekuwa na maisha ya kueleweka, ungewasaidia kwa mawazo ya kujikwamua kiuchumi, vijana humu, ambao hawana ajira, kuliko mada zako za Bashite kila kukicha.

Huoni aibu kwambs wazo lako la Bashite halijafanyiwa kazi unavyotarajia. Kama una akili timamu ungekwisha kujiuliza kwa nini Bashite wako siyo huyo unayemdhania hadi kupoteza usingizi, muda na fedha ya 'bundle'!
 
Clouds walisitukia akili ndogo(bashite) kutaka kuitawala akili kubwa(kusaga and Mtahaba). Ila hawa wajinga wajinga(kina team bashite kama diamond) ndo wanatumika kama toilet paper
Clouds wanaucheza huo wimbo

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Diamond amepiga kotekote,ukiusikiliza huu wimbo utaona amegusa pande zote,kwa serikali na kwa wachochezi

Kiukweli mapigano siyo mazuri,hayana tija,yanatisha
Huyo kahaba Mange ni kahaba tu kama makahaba wengine....hana analolijua zaidi ya kutumika tu ili apewe visenti na Chadema
 
Anaangalia ugali wake, ameshasoma kwa shilawadu kilichowakuta
Wacha alinde kiporo chake cha ugali😀😀
 
This is the best of all facts I've seen today. Thumb up bro
 
Hivi unawezaje kusema Dai anapoteza muda. Umefikiri kimakini kabsa, unahakika ni kiasi gani amejiandaa kwa maisha yake hata akiacha mziki leo. BTW sometimes si kila kitu kipo km kionekanavyo , usijaji mambo kiharaka hivyo
 
We shoga mwenye kibamia rudi kwenu burundi huko,ya watanzania tuachie wenyewe
Tatizo lako ni moja tu unaishi mjini kwakutegemea ukahaba, moja shule huna, pili hujui ulisemalo kumbe umenikumba nashukuru sn maana huduma ya tigo uliyonipa Burundi ilikuwa babu kubwa sn
 
Ninachosikitika siasa zimetugawa, yaani imekuwa kama uadui, na hii sumu wanaisambaza watu wa upinzani ni sumu mbaya sana.

Ni kweli kabisa.. Nakumbuka hata wale wanaCCM waliotaka kwenda kumtembelea Lema gerezani wanasiasa wa upinzani waliwakataza na kuwaambia ni usaliti kwenda huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…