Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Nimetoka kusikiliza wimbo mpya wa Diamond sasa hivi..,
Diamond (I'm not his fan though, nasikiliza nyimbo zake tu) kaimba "ufala" mwingi sana hapo ndani.., ukitulia na kusikiliza vyema huo wimbo.., tayari amekuwa sided na upande fulani katika hili.., amechagua upande, ingawa amewaficha wasikilizaji wake.., ukiwa inaendeshwa na "ufuasi" ukisikiliza wimbo huu unanasa mara moja..
Sikiliza kuna sehemu Diamond anasema _*"badala ya kutafuta senti, wanabishana tu kuhusu mambo ya vyeti.."*_ anaendelea tena, _*"media pande zote wanalalama kiongozi atoke..."*_
.., hapo ndio unagundua yuko upande upi.., yaani Diamond haoni umuhimu wa "kudai vyeti" isipokuwa anamtetea rafiki yake (Bashite)
Pia, jana kabla ya kusambaa kwa wimbo wake huo, kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika upuuzi, aliandika kuhusu Mange Kimambi (though hakutaja jina) katika bandiko hilo ameweka picha yake akiwa na Daudi Albert Bashite.., still bado mnashindwa kuunganisha dots kwenye hili suala!?
Kitu kingine., ROMA na wenzake wamepotea tarehe 5 halafu jana tarehe 7 wimbo wa Diamond Umetoka wenye kuzungumza kuhusu ROMA.., sasa baada ya hapo tazama haraka ya meneja wake (Babu-Talent) kuwakutanisha wasanii na kutaka wakamuone Bashite.., this thing is staged to overwhelm Bashite and atleast to flame him on this.., anatafuta ushujaa..
Binafsi nafikiri, wimbo huo wa Diamond, umekuja kwa mikakati rasmi, anataka kurejesha mjadala wa Bashite kujadiliwa, huu mpango unatumiwa na WASAFI kwa kutumia package ya mashabiki wao.., Diamond kapiga hesabu, huu ni Mkakati wao (WCB na Bashite)., wanataka wimbo huo wenye jina la Bashite ndani usikilizwe, uchezwe redioni ma mitaani, Diamond kaamua "kujilipua" kumsaidia rafiki yake kwenye hili..
Wimbo huu ni maalum kuwafanya watanzania kumchukia Askofu Gwajima na Mange Kimambi ambao kimsingi ni watu wamecheza na Bashite mguu-kwa-mguu.., wimbo huu una ujumbe hasi kwa watu wawili hao, usikilize tena.,
tulieni na muunganishe dot na mtaelewa, Diamond anawatumia na anatumika.., atafanya biashara hapo na atakuwa amefanikiwa kuhamisha mjadala wa kudai vyeti.., wala sio kwamba anasema kuhusu ROMA.., ninyi mashabiki wake milioni 2 mkinunua wimbo huo kwa Tsh 300/= bwana Nassibu anakuwa amekomba tsh 600,000,000/= Shtukaaaa!
Anyways..., hizi mambo za kutekana katika jiji la Mzizima.., ipo siku "watatekana" wenyewe kwa wenyewe na siri zitatoka., maana hizo shughuli zimekithiri sasa.., Diamond anasema anatamani kusema lakini amefundishwa kunyamaza.., kuna mengi ya "ovyo" labda anayafahamu.., muda ni rafiki mzuri..