Jicho la Tatu: Bashite na Diamond rudini studio Upya,Tumewasitukia

Jicho la Tatu: Bashite na Diamond rudini studio Upya,Tumewasitukia

Domo njaa imeanza kumtafuna kibibi kile kukitunza anahitaji gharama sasa GSM ndio wanaomweka mjini acha awe punda tu
Lakini kiuhalisia kaimba vizuri sana, kaonesha hisia zake juu ya sakata LA yanayoendelea sasa nchini!
Amefanya vema, wanamuziki au wasanii wengi huonesha hisia Zao katika kazi zao za sanaa. Theme ya wimbo huu umebebwa katika beti ya mwisho. Amefanya vema sana kama utajaribu kum judge pasipo kuweka mapenzi au chuki juu yake.
 
Kama nawaona mahasimu wake wanavofurahia dogo anavojipiga kitanzi kwa mkono wake achague moja siasa au sanaa niwakati muafaka wa kuchukua gahawa na kashata nikiwa napunga upepo mwananaaa na angalia movie yao na bashite itaishia wapi fakeni kweli hawa wanamficha mwenzao wapate kiki nilianza kuusoma mchezo tangu kiposti chake cha juzi kiposti cha jana cha meneja wake mkutano wa bashite na majibu yale kamanda na majibu yale nikacheeeeeeka[emoji23][emoji23] nikajua movie inazidi kunoga haya diamond hakuna wa# kukupangia mdomo wako umeimba mwenyewe mwenzio akinyolewa zako tia maji [emoji30]very disappointed
 
Hivi uzushi wenu utaisha lini
Watu mmekuwa watafuta sifa mitandaoni kwa chuki za kijinga!!
diamond anaingiaje kwenye hilo
 
Diamond ni mpuuz cjapata wai ona..huyu ni kumpopoa mawe akionekana kitaa
 
Amesema anakaa kimya sasa anaongea nn ,,mama yako kasema unakaaa kimya na ww waamua kuongea kumlinda mtu fulani
 
Nafkiria umefikiria kutumia buttock not your brain, hata isingekuepo hiyo nyimbo issue inayo trend kila siku ni makonda ndio maana mazwazwa kama nyinyi mnamuonea gere
 
et bora nkae kimya kat kashaongea shit...
 
Hivi basata hawawezi kuufungia huu wimbo...ni wa hovyo sana
 
Akikaa kimya mnamlaumu, akisema mnaponda. Sasa mnataka afanyaje??
Kwa kumzishia uongo Gwajima?awe na heshima kama ye aliachwa kutajwa kwa swala mzima la kubeba unga asiwacheke walio chafuliwa kwenye vita hewa ya madawa ya kulevya.
 
Amechagua upande wa kumpoteza na ameona ni sahihi. Time will tell.
 
Back
Top Bottom