jamiiyamtimkavu
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 274
- 192
Kwa mara ya Kwanza Daimond ameniangusha dah!!!! Kweli ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kiuhalisia kaimba vizuri sana, kaonesha hisia zake juu ya sakata LA yanayoendelea sasa nchini!Domo njaa imeanza kumtafuna kibibi kile kukitunza anahitaji gharama sasa GSM ndio wanaomweka mjini acha awe punda tu
Haaa aliyekupa shahada nadhani atakuwa bashiteK nayo ni K pia...
Degree ninazo mbili na nina kazi iliyoshiba!
Ujumbe umeupata Huko PM,twende tukatunishiane msuli huko humu ndani toka
Aache umbeaAkikaa kimya mnamlaumu, akisema mnaponda. Sasa mnataka afanyaje??
PM nikakunyweshe dawa,usikimbie...nina wewe mpaka kielewekeTatizo una miaka 40 bado unaishi nyumbani n umezalishwa mtoto baada ya kubakwa pole sn kahaba cheap
Rudini studio na Bashite wenu hii tuistukia mapema.Hivi uzushi wenu utaisha lini
Watu mmekuwa watafuta sifa mitandaoni kwa chuki za kijinga!!
diamond anaingiaje kwenye hilo
The late sheikh yahaya at your BESTHuu wimbo hauwezi kupata airtime ya kutosha na ndio unampoteza mazima Nasibu
Kwa kumzishia uongo Gwajima?awe na heshima kama ye aliachwa kutajwa kwa swala mzima la kubeba unga asiwacheke walio chafuliwa kwenye vita hewa ya madawa ya kulevya.Akikaa kimya mnamlaumu, akisema mnaponda. Sasa mnataka afanyaje??