Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Video kama hizi ndio zinatrend kwenye viunga vya Qatar
Your browser is not able to display this video.
 
This is what I am.talking about. I am.strongly blv kombe la DUNIA mwaka huu limepelekwa Qatar strategically KWA ajili ya kuufanya ushoga uwe popular KWA ku upromote in an indirect way.

Wazungu iko janja janja
Huenda kuna usahihi kwenye mtazamo wako.
 
Kwenye kupromoti ushoga wazungu wanapata nn?
Wanataka ku control population. Wanaamini sayari ya dunia ina uwezo wa ku accommodate watu chini ya bilioni. Kwamba idadi ya wakaazi wa Dunia ikifikia watu bilioni kumi dunia ita collapse so wanataka ku balance at least population ya watu duniani iwe watu bilioni tatu au nne hivi. Jambo hilo ( KUPUNGUZA idadi ya watu).haliwezekani kama watu wataendelea kuzaliana KWA kasi ya SASA na kiwango cha SASA. Moja Kati ya njia ambazo Wana amini zinaweza kusaidia ku control population ni pamoja na uwepo wa watu wanao jihusisha na ngono za jinsia moja.
 
Mkuu wangu kiumbe anayeitwa mzungu achana naye aiseee hao watu nimewavuliaga kofia wana mbinu za hatari sana kwenye hii dunia wengi hawalijui jambo hili ila siku wakijua washangaamia tayari..
 
Je hilo ni jambo baya au ni jema?
 
Kwahiyo na wewe hapa unaupromote ushoga JF indirectly??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…