Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Sasa mzee si uwe kama Kikwete tu, inakuaje unakuja kuuzungumzia tena huku?
 
Kitu mm sipendi ni watot wadogo kulawitiwa na wakubwa hilo ninmbaya na tukemee sana hayo ila wakubwa tuwaache na siri zao
 
Yah alfu unakuta mpka hao waarabu ndio wazamini wakubwa wa ligi hyo sas kuna nin sas hv ,waarabu ni wanafiki san

Wafalme wao ndio wanamiliki vilabu vikubwa na vinavyo sapoti ushoga
Umiliiki una structure yake kabla ya kuandika inabidi ufuatilie kwanza umiliki wao upo vipi ? mfano Simba Mo ndiye mmiliki lakini hana umiliki wa asilimia zote na wakati mwingine maaamuzi hayatoki kwake Moja kwa Moja.
 
Mzee unaona mambo kwa jicho la 3,nilisema hapa kuwa ushoga utapelekwa Qatar ila watu walibaki kusema eti Qatar wameiheshimisha dinin ya kiisalam kumbe loo hakuna kitu
 
Mzee unaona mambo kwa jicho la 3,nilisema hapa kuwa ushoga utapelekwa Qatar ila watu walibaki kusema eti Qatar wameiheshimisha dinin ya kiisalam kumbe loo hakuna kitu
Yeah kabisa mkuu
 
Wenzetu akili nyingi sanaa
 
Kwani Qatar hakuna ushoga?
 
Eti intelligence ya Qatar hawakuliona hilo ila wewe wa huko Namtumbo ndio umeliona!
basi hapo mwenyewe unajiona bonge la great thinker Eee? πŸ˜€πŸ˜€

Qatar hataki ushoga kwenye nchi yake,wanaolalamika ni hao waliokataliwa kufukuana mitaro kwenye nchi ya watu wastaarabu,fukuaneni mitaro kwenu huko ila Qatar amegoma,mtafungua thd mpaka michuano itaisha ila Machoko ni big no in Qatar.
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…