Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana.
Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag.
FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible:
Credit definition Geogle
Walicho fanya Israel ni kupoteza maboya .
False flag ni operation
(A)inayotafuta sababu ya operation flani au inakua kama chanzo au kisababishi cha operation flan let's say urusi anaweza kuwavalisha wanajeshu wake mavazi ya kijeshi ya Ukraine na kujisha mbulia ili aonekane anashambulishwa ili azidi kuishambulia Ukraine,
(B) false flag inakua kama cover ya main Operation
Nataman nichambue sana ila ... Acha nieshimu taaluma za watu tuendelee kula mtori nyama zipo chini
By mkulima wa kahawa misenyi mkoani kagera