Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Mm nime tafuta hiyo taarifa kua israel imepeleka ndege 4 kushambulia irani nime angalia kwenye zile Sources za uhakika sijaona kabisa hiyo taarifa zaidi ya yule mzee anae jiita MathanzuaAcheni hizo illusions zenu na Conspiracy theory. Mahaba na itikadi zinawafanya kuwa wajinga sana. KIMSINGI HUMU JF HAKUNA ANAYEJUA KAMA NI KWELI ISRAEL ILITUMA F - 35 kuelekea Iran , na kama ni kweli zilikuwa zinakwenda zikarudia njiani HAKUNA ANAYEJUA NI KWANINI ZILIRUDI.
Wabongo ni wajuaji sana sisi na maneno meeeengi, kutengeneza Scenarios tu zisizo na ukweli. Eti " False Flag operation ". Yaani ulivyoandika kana kwamba wewe ulikuwa katibu kwenye kikao cha mpango mkakati cha MOSAD au AMAN .
Wabongo kwa ujuaji nadhani mnaweza kueleza maisha ya Sayari ya Mars kuliko hata wataalam wa NASA