Jicho la tatu la kijasusi Israel kurudisha ndege zake nyuma kuto ishambulia Iran

Mm nime tafuta hiyo taarifa kua israel imepeleka ndege 4 kushambulia irani nime angalia kwenye zile Sources za uhakika sijaona kabisa hiyo taarifa zaidi ya yule mzee anae jiita Mathanzua
 
Mm nime tafuta hiyo taarifa kua israel imepeleka ndege 4 kushambulia irani nime angalia kwenye zile Sources za uhakika sijaona kabisa hiyo taarifa zaidi ya yule mzee anae jiita Mathanzua
Sources za uhakika zipi,CNN?Aljazeera?BBC, SkyNews etc.?Mkuu to some of us sources kama hizo ni udaku and fake news.Halafu huwezi kuona taarifa hizo huko,Kwa kuwa MSM ni washirika wa Israel.Taarifa kama hizo unaweza kuzipata tu kwenye Independent News sources.

Hata hivyo baada ya Urusi kuwapa Iran taarifa, Israel wamebadilisha strategy,IDF wameamua sasa instead watatumia surface to surface missiles.
 
wayahudi wa yombo vituka mna vituko sana...nimecheka sana hii,km kajamaa kama wewe unajua ujasusi wa israel basi basi israel si lolote si chochote kwa iran
 
Maaaniner walah hizo independent source zako ndo nazitaka uweke link apa ama screenshot sio maneno matupu utazan upo kweny war cabinet ya israel et surface to air missile pfuuuuu!!!!.
 
Maaaniner walah hizo independent source zako ndo nazitaka uweke link apa ama screenshot sio maneno matupu utazan upo kweny war cabinet ya israel et surface to air missile pfuuuuu!!!!.
Mkuu ungekuwa unanilipa ungeni-force kufanya unavyotaka,lakini kwa kuwa hunilipi,I do what I want.
 
Iran wameibananisha Israel kwenye kona alafu wanapiga six combination Netanyahu hajui alinde mbavu au sura akiziba mbavu anapigwa uso akiziba uso anabigwa mbavu
Duh, hatari sana!
 
Kwa hio nyie mkiwasifia WA Iran na hedhibollah Huwa mnakuwa ni nyege zinawaongoza mkitamani waje siku moja wawaombe mikundru yenu??? Muwasifie wanajihadi kwamba wamechezea mbolea zenu???
 
Wasamehe wabongo,unajua tatizo liko wapi? nakueleza hapa,tatizo ni wabongo waliowengi wanazipata hizi habari za machafuko ya huko mashariki ya kati kupitia habari zinazorushwa kwenye Youtube ambako zimejaa channel za uzushi,yaani wanarusha habari kwa kucopy video zao kwenye Tv mbalimbali na kuzitia maneno yenye chumvi,channel zinazoongoza kwa uwongo ni zile za India hawana hiana kabisa,habari zinazohusu vita huwa zimefumbwa na kufichwa mambo mengi,kila upande huwa unavutia kwake.
 
Akishambulia Iran ndio itakuwa mwisho wa Israel hapo Middle East. Msitishike na hizo kelele za Israel na US wanatafuta njia wambembel3ze Iran Israel apige target Iran waseme Israel ka revenge hicho kitu Iran kakataa kabisa
 
Jumapili leo mwambie nabii wako akuombee kwa mungu wa Israel ununue gari kaa yake,ila yeye umpe hela😀😃😆.
Wakristo WA bongo wanajuaga uyahudi ni Ukristo😄View attachment 3116543
73.8% of the Israel poulation is Jewish? This is fake news.Labda aliyechapisha taarifa hiyo angesema "73.8 of the Israel population call themselves Jews but are actually not."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…