William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi.
Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila sasa ni kama Mgunda kamzidi fitina.
Sasa Mzungu nae anaanza na Boko na kumuacha hadi dk 70, hata kama anarukaruka tu, Mzungu kutowatumia kabisa Okra, Banda na kumpunzisha mapema Sacko, wachezaji wenye kasi wanaoendana na mfumo anaoutaka na kutumia wazee watatu Boko, Saidoo na Chama kwa pamoja.
Tukubali Mzungu alikuwa na program ambazo zingeweza kuwatumia baadae vizuri Kibu, Kyombo, Banda na vijana wote ambao wapo Simba.
Ila utaratibu wa kuanza tena kusumbuka na akina Boko, Mkude, Saidoo kwa pamoja na utake matokeo ni vichekesho.
Wazee, Simba anatakiwa abaki Onyango na Chama tu, wengine wapenzi wa Mgunda hatupaswi kuwanao kabisa.