SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Mimi nimeshasema humu mara kwa mara, Simba wamejaribu kucheza mpira wa Robertinho kwa game kama 2 au 3 tu za mashindano, baada ya hapo kelele zikawa nyingi kuwa Simba sasa wanabutua butua, watu wakashauri si vyema kuingiza mfumo mpya sasa hivi bali aende tatatibu. Kama una access, angalia zile game tena uone kama ndiyo mpira wa sasa wa Simba.
Toka wakati huo, Robertinho akaenda kwao, tena akiwa kwao Simba walicheza game 1 au mbili na hawakutumia style ya Robertinho, Simba wakarudi kucheza mpira wa kipindi cha Mgunda, mpira wa pasi fupi fupi, back passes nyingi na wakiwa na shida ya kupenya ngome ya adui wakifika final third.
Huo ndiyo UKWERI.