Jicho la tatu sakata la Mpina vs Bashe na hasira ya Spika Tulia

Hadi 2026 utakua na mengi ya kusimulia wajukuu!!
 
Point number mbili, mpina hayupo mwenyewe, and si kwamba hajui taratibu za bunge ila alihisi or anajua taarifa zile zingefungiwa kwenye droo, so akanona the best options ni kuwawahi wahusika before hawajabadili chochote
 
nilichokiona umeandika ni Mpina mzizi mrefu ni sukuma genge nyingine
 
Huko chadema kwenyewe si shwari
 
Naomba ni wakumbushe kuwa hii ni siasa na baya zaidi ni kwamba kila mtu anatetea maslahi yake, lakini kwenye kufanya analysis kuhusu sakata hili kuna mambo mengi ya nyuma mnatakiwa kukumbuka.

1) Kilichoripotiwa kuhusu mchuano kati ya bashe na Kigwangala.
2) Bashe na uchapakazi na utetezi kwa wakulima, na athari yake kwa wakubwa mfano wake na zaidi yake.
3) Sakata la bei za mazao ya biashara na kutishia kumwangusha harmonize mjengoni.
4) Maandalizi ya uchaguzi mwakani kutoka kambi tofauti tofauti.
5) Uwajibikaji na uadilifu wa baadhi ya viongozi na wanasiasa wenye uzalendo na huruma kwa watanzania, mfano wa Mhe. Mpina.
Angle ni nyingi ila stick with 23 huenda ikawa ndio sababu ya haya yote.
 
Mkuu karibu sana kwa mara nyingine jukwaani.
Long time no see you 😂
 
Point number mbili, mpina hayupo mwenyewe, and si kwamba hajui taratibu za bunge ila alihisi or anajua taarifa zile zingefungiwa kwenye droo, so akanona the best options ni kuwawahi wahusika before hawajabadili chochote
Sivyo.

Mpina kaona hana ushahidi kwa yalioongelewa siku ile na akaona awahi kusambaza uongo wake.

Kashastukiwa ndiyo maana Tulia anaendelea lufata taratibu na sheria.

Mpina kajinyonga mwenyewe. Ana sababu za kufanya hivyo.

Anajuwa wazi kabisa kuwa mwaka 2025 atastukizwa kuukosa ubunge, anataka ahame mapema awahi kujifanyia kampeni, akumbuke tu, CCM kama haitaki uwe mbunge hata uhamiwe chama kipi, hata paa la bunge hautaliona.
 
Hapana hii ni ndoano kwa chadema chonde chonde @erthryocite msimpokee mpina hii muvi inapangwa kwa chadema
 
Ndio mtetezi wa dini ya mnyazi unatetea dhulmat ccm ninani mpaka mtanzania halali asiingie bungeni kisa ccm? Mtetezi wa dini ya mnyazi? Ndio maana mnapigwa mabomu na mayahudi kwa usaliti huu.
 
Nani aliyekudanganya maisha ni lazima uwe mbunge. Jibuni hoja za mpina, acha mbambambaaa we shangazi.
 
Tuna safari ndefu sana kama taifa, iwapo tunaamini Mpina peke yake anaweza kukusanya ushahidi wa source zote za idara tofauti peke kwa nafasi yake ya ubunge.

Jiulize wewe ungekuwa mmbunge yale yote ya departments tofauti na ushahidi wa Mpina aliotoa ungeweza yajua bila yakuwa na whistle blowers kwenye department zote hizo.

Mpina ni nani kwenye nchii hii mpaka awe ni attached whistle blowers wa kumkusanyia ushahidi tu kwa sababu yake?

Maana yake nini kuna watu washamchoka Bashe kwenye maswala ya usalama na ulinzi kwa ufisadi wake (ndio wanaoweza pokea info zote hizo), Mpina anapewa tu, ni messenger.

Shida ya MaCCM ni upoyoyo, Bashe your cornered; uamini watch this space.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…