Jicho la tatu sakata la Mpina vs Bashe na hasira ya Spika Tulia

Ndio mtetezi wa dini ya mnyazi unatetea dhulmat ccm ninani mpaka mtanzania halali asiingie bungeni kisa ccm? Mtetezi wa dini ya mnyazi? Ndio maana mnapigwa mabomu na mayahudi kwa usaliti huu.
Naona hoja imekushinda unakuja na viroja, ongea kwa hoja wacha kubwabwaja na kuhororoja hovyo.
 
Hana hoja ya kujibiwa, majibu yake atapewa bungeni.

Ufataani wake ushastukiwa mapema kabla hajauanza.

Ni nani alikwambia wewe kuwa maisha ni ubunge tu? Unazusha?
Nimeona unamshupalia kuwa hatarudi bungeni hiyo 2025. Tuwe taifa lenye kutenda haki. Na mtu muongo aoneshwe uongo wake.
Isiwe kutishanatishana. Sote ni watanzania, tunahitaji kila jambo lifanyike kwa nia njema pasipo kuwa na kujifaidisha nyuma ya pazia.
 
Kwahiyo ccm ndio huwa inaamua nani awe mbunge na sio kura za wananchi?
 
Maana yake nini kuna watu washamchoka Bashe kwenye maswala ya usalama na ulinzi kwa ufisadi wake (ndio wanaoweza pokea info zote hizo), Mpina anapewa tu, ni messenger.
Hahahaah kwamba CCM wamechoka ufisadi? Acha utani, labda useme kuna wezi wanataka nao kula kwenye sekta ya kilimo ila CCM haiwezi kufukuzana kisa ufisadi.
 
Hahahaah kwamba CCM wamechoka ufisadi? Acha utani, labda useme kuna wezi wanataka nao kula kwenye sekta ya kilimo ila CCM haiwezi kufukuzana kisa ufisadi.
You are clever, that I know that.

Msikilize Mpina na amount of first hand evidence alizotaja.

Jiulize ule ushahidi wa Mpina hata ingekuwa wewe kama ungeweza toa bila ya msaada wa watu wa ndani. Kutoka Idara mbali mbali zenye uwezo wa kukusanya hizi Info na kumpa mtu.

Chaka la kilimo jamaa washalichoka Bashe ni actor tu wa kujifanya anajali, Iła wingi wa budget walaji ni wengi.

Hela ni mwanaharamu kwa sababu Bashe kweli alikuwa na lengo la kuwasaidia wakulima na kukuza sector.

Changamoto ni kwamba “shibe mwana malevya, njaa mwana malegevya”

Tamaa ya utajiri wa ghafla imemtoa Bashe kwenye mstari.

Tamaa
 
Very basic info

Hebu ongeza bidii
 
Huku juu nimekuelewa vizuri.
Lakini hapo chini, ukanipoteza kabisa!
Hela ni mwanaharamu kwa sababu Bashe kweli alikuwa na lengo la kuwasaidia wakulima na kukuza sector.

Changamoto ni kwamba “shibe mwana malevya, njaa mwana malegevya”

Tamaa ya utajiri wa ghafla imemtoa Bashe kwenye mstari.

Lakini kiujumla, ninakubaliana nawe sana. Bashe angeweza kuisogeza mbele kidogo wizara ile; kwa sababu akili nzuri ya kudadavua mambo anayo. Sasa sijui kama ni tamaa iliyomwingia yeye, au katekwa na majambazi wenzake huko CCM?
 
Wewe Mpina ana kundi kubwa ndani ya system,vile vielelezo alivyonavyo mtu wa kawaida utavitoa wapi?
Mnawachukulia poa watu wa kanda ya ziwa wakati wao ndiyo wengi humo CCM na wana uwezo wakuichanachana CCM na huyo Bi.Kizimkazi akarudi Zanzibar.
Subiri 2025,Kuna Askofu Msukuma anachukua nchi na Samia atafyata!!
Screen shot this comment!
 
Uandishi wa kipuuzi sana anaoutumia huyo mtu.
 
liouleta ni uongo mtupu, ungekuwa siyo uongo angesubiri Spika aupitie, kilichomfanya azikiuke kanuni za bunge ni nini?

Unamaanisha ana mtandao wa kihalifu?

Hakina wajinga ndiyo waliwao.
 
Halafu hao wachache Ni wahindi na wasomali wa ITEL na ZENJ LTD.
Bora ingekua wasukuma wajukuu zangu hela wangewekeza humu humu tz.
ITEL 49% INAMILIKIWA NA INDIAN NATIONALS.
Kipo nonachojua kuhusi hiii issue ya sukari namna Bashe na Mama Abdul wanachofanya ikiwemo kuanzishwa kwa Kampuni ya Magogoni Sugar na kushinikiza kupewa eneo kubwa kwa ajili ya kuanzisha mashamba ya miwa na kiwanda cha Sukari.

Ukimuona Bashe anavyoongea kwa kutoa majivho kama Paramaganda Kabudi unaweza jua ni mtu wa maana kumbe ni mpiga dili tu na ni kivuli cha Mama Abdul. Hakuna kitu Bashe atafanya bila kibali cha Mama Abdul na Kuhusu Bashe na Wahindi, ni Damu damu. Jamaa ametoa gari la serikali na kulijaza mafuta ili kumzungusha Muhindi nchi nzima eti mwekezaji wa umeme mbadala kumbe ni tapeli tu.

Jamaa ni mpigaji na hapa Wizarani tunamchora tu na sasa anapambana kila taasisi, mamlaka, Bodi na idara za Wizara ya Kilimo kuweka watu dhaifu na wapigaji ili wamletee fungu la kumi na watu string anawatengua. Subiria teuzi mpya zitakazo toka leo au kesho huko Bodi ya Chai, Bodi ya Sukari, Bodi ya Korosho, ASA, TFRA, NFRA, Bodi ya Mkonge, Mfuko wa Pembejeo n.k atakavyoweka vilaza akina Beatrice na Mavika huko akiwatoa watu strong kama akina Sofia Kashinje.
 
Kwa zile nondo za Mpina, Bashe hana pa kutokea
Yule yupo kimkakati, bi kizimkazi kamuweka pale kwa makusudi. Kimskngi, Bashe ni mtu aliyekwisha feli muda ila kwa kuwa ni mujahidina kama mama abdul na pia amekaa pale kwa lengo la kupiga madili na mama abdul atabaki. Kafeli kwenye kila kiyu kuanzia Mabilioni ya BBT hadi kwenye kuwekeza Bilions of Money kwenye umwagiliaji kwa kutumia surface water wakati kila siku level of surface water inapungua duniani.

Anachojua na anachofanya cha maana hakuna hapa wizarani zaidi ya majungu na dili tu kama alivyopiga dili kwenye pikipiki za maafisa kwa kumpa Mo kila kitu. Kwenye kila oilipiki 1 alikubaliana na MO ampe 200,000 sasa aliagiza oikipiki 7000. Fikiria amelamba kiasi gani? Nchi ya wajinga inaliwa na kuchezewa sana.
 
Kaka Bashe hayuko peke yake kwenye ulaji.

Sikiliza Majibashano yao na Mpina

Mpina nae hayuko peke yake kwenye kupambana na ufisadi.

Sisi wengine wachochezi tu waache wagombane wenyewe kwa ushahidi.wao (useless people).

Nothess Bashe na Betina wazushi (team mafisadi).
 
Hatorudi. Kumbuka hilo.
 
Hapana hii ni ndoano kwa chadema chonde chonde @erthryocite msimpokee mpina hii muvi inapangwa kwa chadema
Ni muda sahihi wa Sukuma Gang kuungana na Chaga Gang ila Sukuma Gang wajue kabisa ukifika muda wa kugawana keki lazima wadhulumiwe na Chaga Gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…