Jicho la tatu: Walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake.

Binafsi naamini hata hii habari yenye tuhuma nzito tunayoisoma hapa JF leo, imevujishwa kwa makusudi katika muendelezo wa haya mapambano baina ya makundi haya mawili ndani ya chama husika na huenda press ya jana ya yule kijana wa Mwendazake, ndio imepelekea hili bomu kulipuliwa leo.

Kwa kifupi, hii vita ya maneno ndio inashika kasi huku nyumba zote ambazo zote ni za vioo, zikianza kupasuka vipande vipande na mwisho wa siku wadanganyika watapata fursa ya kuona yaliyomo ndani katika hizi nyumba(tuombe Mungu wenye pressure wasije kushindwa kuhimili watayoyaona humo ndani tukapata misiba ya mfululizo).

Last but least: Reshuffle is imminent any time from now(according to my observation).
 
Ccm wote ni wapigaji,hakuna mwema,sasa hv wale waliokuwa wanapiga na mwendazake,wanaugulia maumivu sasa hv ni msoga crew ndio inapiga,hii vita inayoendelea ni ya wapigaji watupu,
Majizi yanayoitafuna nchi hii hayatoki mbali na familia za Mkapa,Mwinyi,Maghu,Kikwete,na familia za mawazili,wote ni Wezi.
 
Screenshot_20211212-213229_Instagram.jpg
 
Ccm wote ni wapigaji,hakuna mwema,sasa hv wale waliokuwa wanapiga na mwendazake,wanaugulia maumivu sasa hv ni msoga crew ndio inapiga,hii vita inayoendelea ni ya wapigaji watupu,
Majizi yanayoitafuna nchi hii hayatoki mbali na familia za Mkapa,Mwinyi,Maghu,Kikwete,na familia za mawazili,wote ni Wezi.
Hii ni sahihi kabisa
 
Pamoja na hayo yote uliyoyaandika tambua kwamba CCM ina watu ambao wapo smart sana kuliko CHADEMA. Chadema mmebaki watu wa mipasho, mmekuwa Mbwa asiyeng'ata.

CHADEMA nawafananisha na mwanamke ambaye anamtishia kumuacha bwana wake wakati bado anampenda sana na hana uwezo wa kumuacha.

CHADEMA mmekuwa mkilalamika kuhusu vitendo vya CCM ila hakuna hatua mnazozichukua. Mfano mmezuiliwa kufanya mikutano ila hakuna hatua mlioichukua mmebaki mnabwekabweka tu.

CHADEMA mliibiwa kula katika uchaguzi uliopita ila hakuna mlichofanya ila mpo kwenye mitandao hasa twitter mnalialia tu. Kadhalika, mmeungana na wanaharakati uchwara kila siku kudanganyana kwenye SPACE.

CHADEMA hamjui mtokako wala hamjui mnakoelekea. Hii ni kwa sababu huenda ubongo wenu hauna akili au uoga umewatala mpaka umesababisha muwe wajinga sana.

To sum up, CHADEMA sycophants are naive, nebish and inactive.
 
Unasumbuliwa na frustrations zinazoendelea katika chama chenu.
 
Ccm ina watu smart sana lakini wanategemea vyombo vya dola kuonyesha usmart wao! Kama wangekuwa smart miaka 60 hii nchi ingekuwa tajiri. Labda kama hujui maana ya neno smart.
moja na hayo yote uliyoyaandika tambua kwamba CCM ina watu ambao wapo smart sana kuliko CHADEMA. Chadema mmebaki watu wa mipasho, mmekuwa Mbwa asiyeng'ata.

CHADEMA nawafananisha na mwanamke ambaye anamtishia kumuacha bwana wake wakati bado anampenda sana na hana uwezo wa kumuacha.

CHADEMA mmekuwa mkilalamika kuhusu vitendo vya CCM ila hakuna hatua mnazozichukua. Mfano mmezuiliwa kufanya mikutano ila hakuna hatua mlioichukua mmebaki mnabwekabweka tu.

CHADEMA mliibiwa kula katika uchaguzi uliopita ila hakuna mlichofanya ila mpo kwenye mitandao hasa twitter mnalialia tu. Kadhalika, mmeungana na wanaharakati uchwara kila siku kudanganyana kwenye SPACE.

CHADEMA hamjui mtokako wala hamjui mnakoelekea. Hii ni kwa sababu huenda ubongo wenu hauna akili au uoga umewatala mpaka umesababisha muwe wajinga sana.

To sum up, CHADEMA sycophants are naive, nebish and inactive.
 
Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake.

Binafsi naamini hata hii habari yenye tuhuma nzito tunayoisoma hapa JF leo, imevujishwa kwa makusudi katika muendelezo wa haya mapambano baina ya makundi haya mawili ndani ya chama husika na huenda press ya jana ya yule kijana wa Mwendazake, ndio imepelekea hili bomu kulipuliwa leo.

Kwa kifupi, hii vita ya maneno ndio inashika kasi huku nyumba zote ambazo zote ni za vioo, zikianza kupasuka vipande vipande na mwisho wa siku wadanganyika watapata fursa ya kuona yaliyomo ndani katika hizi nyumba(tuombe Mungu wenye pressure wasije kushindwa kuhimili watayoyaona humo ndani tukapata misiba ya mfululizo).

Last but least: Reshuffle is imminent any time from now(according to my observation).
Nyumba inawaka moto. Wacha wauane
 
Aiseee mnahangaika sana Magufuli Yu mioyoni mwetu.
 
Back
Top Bottom