imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Burdani sana,umeumiza wengi umeliza wengi umezulumu wengi
Deal with it!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Burdani sana,umeumiza wengi umeliza wengi umezulumu wengi
RubbishSiku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake.
Binafsi naamini hata hii habari yenye tuhuma nzito tunayoisoma hapa JF leo, imevujishwa kwa makusudi katika muendelezo wa haya mapambano baina ya makundi haya mawili ndani ya chama husika na huenda press ya jana ya yule kijana wa Mwendazake, ndio imepelekea hili bomu kulipuliwa leo.
Kwa kifupi, hii vita ya maneno ndio inashika kasi huku nyumba zote ambazo zote ni za vioo, zikianza kupasuka vipande vipande na mwisho wa siku wadanganyika watapata fursa ya kuona yaliyomo ndani katika hizi nyumba(tuombe Mungu wenye pressure wasije kushindwa kuhimili watayoyaona humo ndani tukapata misiba ya mfululizo).
Last but least: Reshuffle is imminent any time from now(according to my observation).
Mjomba akili zipo sawa kweli au double kiki zinazingua????pambana na chama lako la magaidi achana na CCM
Umesema unawajua timu Nape waliompiga risasi Lissu?pambana na chama lako la magaidi achana na CCM
Wacha wahuni waonyeshane uhuni😄Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake.
Binafsi naamini hata hii habari yenye tuhuma nzito tunayoisoma hapa JF leo, imevujishwa kwa makusudi katika muendelezo wa haya mapambano baina ya makundi haya mawili ndani ya chama husika na huenda press ya jana ya yule kijana wa Mwendazake, ndio imepelekea hili bomu kulipuliwa leo.
Kwa kifupi, hii vita ya maneno ndio inashika kasi huku nyumba zote ambazo zote ni za vioo, zikianza kupasuka vipande vipande na mwisho wa siku wadanganyika watapata fursa ya kuona yaliyomo ndani katika hizi nyumba(tuombe Mungu wenye pressure wasije kushindwa kuhimili watayoyaona humo ndani tukapata misiba ya mfululizo).
Last but least: Reshuffle is imminent any time from now(according to my observation).
Ufipa tunaingiaje hapa. Malizaneni na msala wenu. Mtuache msitafute huruma.Kazi kweli , hakuna cha lumumba wala ufipa
Vita vya wahuni na kunguni/ virobotoWacha wahuni waonyeshane uhuni😄
kweli aiseeCcm sio chama bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Ile porojo ya Tanzania ya viwanda iliishia wapi?
Nyumba zenu zifanyiwe uchunguzi. Haiwezekani Mbunge wa ccm akutwe na Ky na toilet papers nyingi kiasi kile.pambana na chama lako la magaidi achana na CCM
kibaya zaidi wale wote walioteuliwa au faidika na mwendazake, wanamtishia mama asiwaguse, kwamba kwa kuwagusa wao ana haribu legacy ya magu...pambana na chama lako la magaidi achana na CCM
Chawa wa Polepole kazinipambana na chama lako la magaidi achana na CCM
Mbona unajibebisha kwa CCM komaa na CDM yako!?Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake.
Binafsi naamini hata hii habari yenye tuhuma nzito tunayoisoma hapa JF leo, imevujishwa kwa makusudi katika muendelezo wa haya mapambano baina ya makundi haya mawili ndani ya chama husika na huenda press ya jana ya yule kijana wa Mwendazake, ndio imepelekea hili bomu kulipuliwa leo.
Kwa kifupi, hii vita ya maneno ndio inashika kasi huku nyumba zote ambazo zote ni za vioo, zikianza kupasuka vipande vipande na mwisho wa siku wadanganyika watapata fursa ya kuona yaliyomo ndani katika hizi nyumba(tuombe Mungu wenye pressure wasije kushindwa kuhimili watayoyaona humo ndani tukapata misiba ya mfululizo).
Last but least: Reshuffle is imminent any time from now(according to my observation).
Binafs naona ni upuuzi tu yanayoendelea! Mama amechagua njia ya kufanya kazi kimyakimya angeendelea tu haina maana kuona malumbano yasiyo na staha mitandaoni!Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake.
Binafsi naamini hata hii habari yenye tuhuma nzito tunayoisoma hapa JF leo, imevujishwa kwa makusudi katika muendelezo wa haya mapambano baina ya makundi haya mawili ndani ya chama husika na huenda press ya jana ya yule kijana wa Mwendazake, ndio imepelekea hili bomu kulipuliwa leo.
Kwa kifupi, hii vita ya maneno ndio inashika kasi huku nyumba zote ambazo zote ni za vioo, zikianza kupasuka vipande vipande na mwisho wa siku wadanganyika watapata fursa ya kuona yaliyomo ndani katika hizi nyumba(tuombe Mungu wenye pressure wasije kushindwa kuhimili watayoyaona humo ndani tukapata misiba ya mfululizo).
Last but least: Reshuffle is imminent any time from now(according to my observation).
Hapa tayari umeshapanic hadi umeyoka nje ya mada.Pamoja na hayo yote uliyoyaandika tambua kwamba CCM ina watu ambao wapo smart sana kuliko CHADEMA. Chadema mmebaki watu wa mipasho, mmekuwa Mbwa asiyeng'ata.
CHADEMA nawafananisha na mwanamke ambaye anamtishia kumuacha bwana wake wakati bado anampenda sana na hana uwezo wa kumuacha.
CHADEMA mmekuwa mkilalamika kuhusu vitendo vya CCM ila hakuna hatua mnazozichukua. Mfano mmezuiliwa kufanya mikutano ila hakuna hatua mlioichukua mmebaki mnabwekabweka tu.
CHADEMA mliibiwa kula katika uchaguzi uliopita ila hakuna mlichofanya ila mpo kwenye mitandao hasa twitter mnalialia tu. Kadhalika, mmeungana na wanaharakati uchwara kila siku kudanganyana kwenye SPACE.
CHADEMA hamjui mtokako wala hamjui mnakoelekea. Hii ni kwa sababu huenda ubongo wenu hauna akili au uoga umewatala mpaka umesababisha muwe wajinga sana.
To sum up, CHADEMA sycophants are naive, nebish and inactive.
Yatima wa mwendazake 🤣🤣🤣
UNGEKUA MCHAMBUZI MZURI WA MASWALA YA SIASA UNGELIONA HILO LA MPIRA KUCHEZWA KWENYE 'UNEVEN GROUND'. KWA HALI HIYO UNGEGUNDUA VILEVILE HATA WEWE AMBAYE PENGINE NI MPUMBAVU UNGEHESABIWA 'SMART' KWENYE HUO UWANJA.Pamoja na hayo yote uliyoyaandika tambua kwamba CCM ina watu ambao wapo smart sana kuliko CHADEMA. Chadema mmebaki watu wa mipasho, mmekuwa Mbwa asiyeng'ata.
CHADEMA nawafananisha na mwanamke ambaye anamtishia kumuacha bwana wake wakati bado anampenda sana na hana uwezo wa kumuacha.
CHADEMA mmekuwa mkilalamika kuhusu vitendo vya CCM ila hakuna hatua mnazozichukua. Mfano mmezuiliwa kufanya mikutano ila hakuna hatua mlioichukua mmebaki mnabwekabweka tu.
CHADEMA mliibiwa kula katika uchaguzi uliopita ila hakuna mlichofanya ila mpo kwenye mitandao hasa twitter mnalialia tu. Kadhalika, mmeungana na wanaharakati uchwara kila siku kudanganyana kwenye SPACE.
CHADEMA hamjui mtokako wala hamjui mnakoelekea. Hii ni kwa sababu huenda ubongo wenu hauna akili au uoga umewatala mpaka umesababisha muwe wajinga sana.
To sum up, CHADEMA sycophants are naive, nebish and inactive.
Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake.
Binafsi naamini hata hii habari yenye tuhuma nzito tunayoisoma hapa JF leo, imevujishwa kwa makusudi katika muendelezo wa haya mapambano baina ya makundi haya mawili ndani ya chama husika na huenda press ya jana ya yule kijana wa Mwendazake, ndio imepelekea hili bomu kulipuliwa leo.
Kwa kifupi, hii vita ya maneno ndio inashika kasi huku nyumba zote ambazo zote ni za vioo, zikianza kupasuka vipande vipande na mwisho wa siku wadanganyika watapata fursa ya kuona yaliyomo ndani katika hizi nyumba(tuombe Mungu wenye pressure wasije kushindwa kuhimili watayoyaona humo ndani tukapata misiba ya mfululizo).
Last but least: Reshuffle is imminent any time from now(according to my observation).
Hiyo CCM mimi nimeitaja wapi kwenye hii mada?Mbona unajibebisha kwa CCM komaa na CDM yako!?