Jidanganyeni tu kuwa eti hata msipopata matokeo leo mkienda Kwao South Africa mtapindua matokeo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Marumo Gallants FC ndiyo Timu pekee ambayo ikifungwa Ugenini hata Goli 4 Kwao Afrika Kusini wana Uwezo wa Kukufunga Goli 5 na 6.

Kudadadeki.

Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
 
Wamefungwa juzi na Mamelodi
 
Yanga wana plan yao tusubiri tu
 
WANANCHIIIIIII LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUONESHA ULIMWENGU KWAMBA YANGA INA UKUBWA KIASI GANI.MAKOLO
WAMEJARIBU KUIKUZA MARUMO KWA KILA NAMNA ILA LEO TUTAENDA KUWAONESHA YANGA NI NANI.
EWE MWANANCHI TEMBEA KIFUA MBELE KWANI LEO NDIO TUNAENDA KUINGIA FAINALI RASMI.
LEO MADUNDUKA YATALILIA CHOONI.
 
Marumo Gallants FC ndiyo Timu pekee ambayo ikifungwa Ugenini hata Goli 4 Kwao Afrika Kusini wana Uwezo wa Kukufunga Goli 5 na 6.

Kudadadeki.

Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Unahangaika sana leo kama kuku tetea! 🐔 Vipi unataka kutaga yai?
 
Back
Top Bottom