GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wamefungwa juzi na MamelodiMarumo Gallants FC ndiyo Timu pekee ambayo ikifungwa Ugenini hata Goli 4 Kwao Afrika Kusini wana Uwezo wa Kukufunga Goli 5 na 6.
Kudadadeki.
Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Yanga wana plan yao tusubiri tuMarumo Gallants FC ndiyo Timu pekee ambayo ikifungwa Ugenini hata Goli 4 Kwao Afrika Kusini wana Uwezo wa Kukufunga Goli 5 na 6.
Kudadadeki.
Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Unahangaika sana leo kama kuku tetea! 🐔 Vipi unataka kutaga yai?Marumo Gallants FC ndiyo Timu pekee ambayo ikifungwa Ugenini hata Goli 4 Kwao Afrika Kusini wana Uwezo wa Kukufunga Goli 5 na 6.
Kudadadeki.
Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Atakuja na threads za kugeuza manenoKama nakuona vile muda huu huko uliko, jinsi ulivyojikuta mdogo kama pirton!!
Hili ni zuzu andamizi hua linafikiria kinyumenyume muda sio mrefu litalipuka na upupu mwingine.Atakuja na threads za kugeuza maneno
AahaaaaaJamaa anaanda stori nyingine. Muda si mrefu atakuja na mada nyingine. MAUMIVU YA MOYO NA ROHO MBAYA NI KITU KIBAYA SAANA
GENTAMYCINE is typing........Kama nakuona vile muda huu huko uliko, jinsi ulivyojikuta mdogo kama pirton!!