Jide apewa talaka rasmi

Jide apewa talaka rasmi

Kwani walikua hawaendelei na maisha yao kabla ya hukumu kutolewa ? Kilicho fanyika hapo ni wamekata mrija wa Gadna kumnyonya Jide
 
Yaani mwanaume kuoa mwanamke mwenye pesa kwenye jamii zetu za kiafrika ni shida. Umejuaje kwamba alikuwa anamnyonya? Mara wengine wanasema alikuwa ameolewa hivi kuoa kuolewa na kuoana tofauti yake nini? Kwa mtizamo huu mfumo dume hautaisha.
 
Mfumo dume au mfumo Jike ? Hivi temboni kwa jide dume zima unaenda kuishi ,hii maana yake nini ?? Enzi hizo Murano ndio zinaingia Jide alinunua ila ukikatiza unakutana na Gadna ndio kala kishoka kikubwaaa ,hii haikubaliki kwenye jamii yetu ,unless wewe ni Kanjibahi
 
Dunia imebadilika wanawake wanamiliki mali na wanahaki ya kuishi na mtu wampendaye mali hazioi ndugu, wapo wanawake wenye pesa sana na wameolewa na wanaume wasio nazo na wanawaheshimu kama waume zao. Kwa hiyo kama mali zinaoa mke akiwa tajiri unamuacha?
 
Kelele nyingi za nini Mkuu ? Njoo nikupe dada yangu halafu uwe unaishi kwetu niwe nakutia Makwenzi deile
 
Kwani walikua hawaendelei na maisha yao kabla ya hukumu kutolewa ? Kilicho fanyika hapo ni wamekata mrija wa Gadna kumnyonya Jide
Hii habari imenifurahisha sana, mi sipendi tabia ya mwanaume kuwa kama binti
Sasa kama anapenda kufungua zipu na ajitume tu
 
Si ndio hapo halafu kuna watu wanatetea huu ujinga ,ama kweli wanaume wanazidi kupungua duniani
 
Back
Top Bottom