pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Ile sheria ya Eritrea inatuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaman nimelia kweli leo kusikia hii habari loh
Subhannah!!Hawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana?
ha haahaha ha mke haumi?Uchungu ndugu yangu, mume anauma yeuwiii uwiiii uwieee yeuwiii auwiii
we kafunge ahalafu agome kuja mahakamaniKumbe siku hizi ndoa si ndoana tena... Basi namini nafunga ndoa hivi karibuni
mmh sijui kama yupo kwenye soko bado?Gardner sasa yuko huru kuolewa tena
Nani mgumba hapoHawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana?
Anauma kwani kidogo uwiiie yeuwiiii auwuii auwiii nafwaaa eee uwiiiha haahaha ha mke haumi?
ha haha basi poleAnauma kwani kidogo uwiiie yeuwiiii auwuii auwiii nafwaaa eee uwiii
Yaani mwanaume kuoa mwanamke mwenye pesa kwenye jamii zetu za kiafrika ni shida. Umejuaje kwamba alikuwa anamnyonya? Mara wengine wanasema alikuwa ameolewa hivi kuoa kuolewa na kuoana tofauti yake nini? Kwa mtizamo huu mfumo dume hautaisha.Kwani walikua hawaendelei na maisha yao kabla ya hukumu kutolewa ? Kilicho fanyika hapo ni wamekata mrija wa Gadna kumnyonya Jide
Mfumo dume au mfumo Jike ? Hivi temboni kwa jide dume zima unaenda kuishi ,hii maana yake nini ?? Enzi hizo Murano ndio zinaingia Jide alinunua ila ukikatiza unakutana na Gadna ndio kala kishoka kikubwaaa ,hii haikubaliki kwenye jamii yetu ,unless wewe ni KanjibahiYaani mwanaume kuoa mwanamke mwenye pesa kwenye jamii zetu za kiafrika ni shida. Umejuaje kwamba alikuwa anamnyonya? Mara wengine wanasema alikuwa ameolewa hivi kuoa kuolewa na kuoana tofauti yake nini? Kwa mtizamo huu mfumo dume hautaisha.
Dunia imebadilika wanawake wanamiliki mali na wanahaki ya kuishi na mtu wampendaye mali hazioi ndugu, wapo wanawake wenye pesa sana na wameolewa na wanaume wasio nazo na wanawaheshimu kama waume zao. Kwa hiyo kama mali zinaoa mke akiwa tajiri unamuacha?Mfumo dume au mfumo Jike ? Hivi temboni kwa jide dume zima unaenda kuishi ,hii maana yake nini ?? Enzi hizo Murano ndio zinaingia Jide alinunua ila ukikatiza unakutana na Gadna ndio kala kishoka kikubwaaa ,hii haikubaliki kwenye jamii yetu ,unless wewe ni Kanjibahi
Kelele nyingi za nini Mkuu ? Njoo nikupe dada yangu halafu uwe unaishi kwetu niwe nakutia Makwenzi deileDunia imebadilika wanawake wanamiliki mali na wanahaki ya kuishi na mtu wampendaye mali hazioi ndugu, wapo wanawake wenye pesa sana na wameolewa na wanaume wasio nazo na wanawaheshimu kama waume zao. Kwa hiyo kama mali zinaoa mke akiwa tajiri unamuacha?
Hii habari imenifurahisha sana, mi sipendi tabia ya mwanaume kuwa kama bintiKwani walikua hawaendelei na maisha yao kabla ya hukumu kutolewa ? Kilicho fanyika hapo ni wamekata mrija wa Gadna kumnyonya Jide
Si ndio hapo halafu kuna watu wanatetea huu ujinga ,ama kweli wanaume wanazidi kupungua dunianiHii habari imenifurahisha sana, mi sipendi tabia ya mwanaume kuwa kama binti
Sasa kama anapenda kufungua zipu na ajitume tu