Guys,kwan alichofanya Lady Jay dee kinakuaffect nn katika maisha mana hela yake na alichofanya ni kwa manufaa yake so hata akitumia Bilion thn si vibaya,ila angefanya Beyonce au JLO au wakina Kanye thn msingesema chochote so kama T.I alivosema Live ur lyf