Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
Kama haukupata hii Jide a.k.a Komando aliamua kurudi studio kufanya vidio ya Yahayakwa mara ya Pili baada ya kuona vidoti usoni ambavyo hakuvipenda na hivyo kutafuta mtaalam wa masuala ya Urembo na kukamuliwa mamilioni ya fedha hizo ni gharama ya Urembo na kufanya video upya
Huyo ndiye Komandi Jide
Huyo ndiye Komandi Jide