Jide Komando uso ulivyo mgharimu mamilioni

Jide Komando uso ulivyo mgharimu mamilioni

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Kama haukupata hii Jide a.k.a Komando aliamua kurudi studio kufanya vidio ya Yahayakwa mara ya Pili baada ya kuona vidoti usoni ambavyo hakuvipenda na hivyo kutafuta mtaalam wa masuala ya Urembo na kukamuliwa mamilioni ya fedha hizo ni gharama ya Urembo na kufanya video upya
Huyo ndiye Komandi Jide
 
na ile dental formula ya sungura itabid aisambatatishe maana loh!
 
Hii ni personal life. Otherwize mods ipelekeni kule Celeb forum ndio tuijadili...
 
Guys,kwan alichofanya Lady Jay dee kinakuaffect nn katika maisha mana hela yake na alichofanya ni kwa manufaa yake so hata akitumia Bilion thn si vibaya,ila angefanya Beyonce au JLO au wakina Kanye thn msingesema chochote so kama T.I alivosema Live ur lyf
 
Back
Top Bottom