Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
NDo yale yale mambo, kuandika ooh chanza cha karibu na staa huyo kumbe chanzo chenyewe jf au instagram
Na hiyo issue ya kujifanya mara tulimpigia msanii apokei simu au et namba yake haipatikan kumbe hawana ni ujanja tu, awa mbona wataumbuka mwaka huu??
zamani ilikuwa ukichafuliwa na magazet bhaaas huna pa kujitetea sasa iv mitandao kibaooooo dah nimeopenda hii kutoka kwa jide
Mungu wapi, jide kafunguka huyooooo ni nomaaaa, khaa!! Siri zote hadharan, ebu nikae mkao wa kula mie mmh!!!
halafu kwa jinsi alivyoandika apo sijui kama kuna ndoa apo tena
Mhariri wa hilo gazeti ni anaitwa Evarist
Kutwa yupo kuandika scandal kwenye magazeti tena za kutunga ni waongo balaa sa wengine huchukua habari kama ilivyo na kuona jide ni kweli yuko na mtoto wa vitoto

Mitandao imerahisisha mambo watu washawajua uongo wao mie hata kununua hayo magazeti sinunui
Gazeti nililonunua ni la story nilowapa nayo wakaja kunikera walivyojaza uongoooo
Mungu wapi, jide kafunguka huyooooo ni nomaaaa, khaa!! Siri zote hadharan, ebu nikae mkao wa kula mie mmh!!!
halafu kwa jinsi alivyoandika apo sijui kama kuna ndoa apo tena
Mimi ninge mshauri Lady jayeed awandikie baraza la habari malalamiko kuhusu hii habari kutoka Global na Global publishers na hasa Huyo mhariri ataitwa katika baraza la usuluhishi huko MCT na kama hakuto patikana suluhu Jide ana kwenda mahakamani!
Jide asiache lipite aende MCT kushitaki na Global chakwanza lazima waambiwe kumshafisha kwa kumuomba radhi hata wiki nzima front page!
Najua wengi wanaumizwa lakini hawana jinsi na ninaamini Jide anaweza kuwa muokozi wao!
Sasa da Jide kasema tumsikilize Wakazi Wasira kwani Gadner sio meneja siku hizi!!
Mimi nimeona RED ALERT aliposema ndoa kuvunjika sio peke yake hata nelson mandela yake ilivunjika, nikasema apa kuna namna kabisa duh, ila gadner kazid umalaya yule, anagonga had wanaume, halaf nasikia kamtia mtu mimba ndo maana bibie kanuna gadna anamfilis na mitoto yake haramu akaona isiwe kesi

Kuna kila sababu ya kuwa sue global hasa mhariri wa hilo gazeti kama kweli wahusika wanaumizwa!
Mi nawashangaa kwanini wizara ya habari inawalea sana Global kwa kudhalilisha watu? Kwanini wasiandike ukweli?
Unachosahau ni kwamba masupa staa wanapenda wenyewe kuandikwa...usipoandikwa unasahaulika...wengine wanapeleka ma niwzi wenyewe...
Ukija kwa zile fumanizi za kitaa ambazo si za mastaa unachoshitaki nini wakati mi evidensi kibao...
Udaku ni magazeti kama mengine...wako kazini na wao...
Mmh jide ni mgumu sana wa kusamehe, yani ukimkosea tu jua hakuna kupatana naye milele. Afu kumbe mzee wa bamaga alimfata gardner kuomba msamaha afu still jide akachomoa duuh, jide ana roho ya kisasi kupita maelezo