Jide na dogo dogo gumzo mjini

Jide na dogo dogo gumzo mjini

NDo yale yale mambo, kuandika ooh chanza cha karibu na staa huyo kumbe chanzo chenyewe jf au instagram

Na hiyo issue ya kujifanya mara tulimpigia msanii apokei simu au et namba yake haipatikan kumbe hawana ni ujanja tu, awa mbona wataumbuka mwaka huu??

zamani ilikuwa ukichafuliwa na magazet bhaaas huna pa kujitetea sasa iv mitandao kibaooooo dah nimeopenda hii kutoka kwa jide

Mitandao imerahisisha mambo watu washawajua uongo wao mie hata kununua hayo magazeti sinunui

Gazeti nililonunua ni la story nilowapa nayo wakaja kunikera walivyojaza uongoooo
 
Mungu wapi, jide kafunguka huyooooo ni nomaaaa, khaa!! Siri zote hadharan, ebu nikae mkao wa kula mie mmh!!!

halafu kwa jinsi alivyoandika apo sijui kama kuna ndoa apo tena

Kwa mfano kama ndoa ilikua na migogoro kwa habari hizi si ka wanazidi kuchochea kuni ndoa ife........
 
Mhariri wa hilo gazeti ni anaitwa Evarist

Kutwa yupo kuandika scandal kwenye magazeti tena za kutunga ni waongo balaa sa wengine huchukua habari kama ilivyo na kuona jide ni kweli yuko na mtoto wa vitoto

Mimi ninge mshauri Lady jayeed awandikie baraza la habari malalamiko kuhusu hii habari kutoka Global na Global publishers na hasa Huyo mhariri ataitwa katika baraza la usuluhishi huko MCT na kama hakuto patikana suluhu Jide ana kwenda mahakamani!

Jide asiache lipite aende MCT kushitaki na Global chakwanza lazima waambiwe kumshafisha kwa kumuomba radhi hata wiki nzima front page!

Najua wengi wanaumizwa lakini hawana jinsi na ninaamini Jide anaweza kuwa muokozi wao!
 
Kuna habar niliandika humu kuhus mama lulu kununuliwa piki pik na lulu kesho yake nikakuta habar front page, eti wanadai chanzo cha karibu na familia hiyo kimewanyetisha habar wakat walitoa humu yan ni waongo sana wale
 
Mitandao imerahisisha mambo watu washawajua uongo wao mie hata kununua hayo magazeti sinunui

Gazeti nililonunua ni la story nilowapa nayo wakaja kunikera walivyojaza uongoooo

We unafiri bila kujaza mbwebwe gazet lingeuzika? Yan ni waongo hakuna, mfyuu halaf mimi mar nyingi sana wanachukua habar humu ata mia sipat mfyuuu ngoj ntawakomesha
 
Mungu wapi, jide kafunguka huyooooo ni nomaaaa, khaa!! Siri zote hadharan, ebu nikae mkao wa kula mie mmh!!!

halafu kwa jinsi alivyoandika apo sijui kama kuna ndoa apo tena

Sasa da Jide kasema tumsikilize Wakazi Wasira kwani Gadner sio meneja siku hizi!!
 
Mimi ninge mshauri Lady jayeed awandikie baraza la habari malalamiko kuhusu hii habari kutoka Global na Global publishers na hasa Huyo mhariri ataitwa katika baraza la usuluhishi huko MCT na kama hakuto patikana suluhu Jide ana kwenda mahakamani!

Jide asiache lipite aende MCT kushitaki na Global chakwanza lazima waambiwe kumshafisha kwa kumuomba radhi hata wiki nzima front page!

Najua wengi wanaumizwa lakini hawana jinsi na ninaamini Jide anaweza kuwa muokozi wao!

Mtu kama jide hapendagi ujinga ujinga huu wa magazeti na umaarufu kunuka, ayo mambo anayaweza mama ubaya, maana kuna kipindi mama wema aliwatukana sana global kuhusu kumuandika mtoto wake vibaya, aliwapiga sana mikwara, kwel global walimpotezea kwa mda ,mama ubaya akaenda gpl kuomba msamaha ili aandikwe dah nilichok sana global nao wakamuanika hadharan.

GPL ndio wanaomuweka wema kwenye raman nzur ya umaarufu , bila gpl wema asingefikia huu umaarufu wa leo.
 
Sasa da Jide kasema tumsikilize Wakazi Wasira kwani Gadner sio meneja siku hizi!!

Mimi nimeona RED ALERT aliposema ndoa kuvunjika sio peke yake hata nelson mandela yake ilivunjika, nikasema apa kuna namna kabisa duh, ila gadner kazid umalaya yule, anagonga had wanaume, halaf nasikia kamtia mtu mimba ndo maana bibie kanuna gadna anamfilis na mitoto yake haramu akaona isiwe kesi
 
Na Jide ana msimamo kama Gadner kamtia mtu mimba, Jide atabwaga manyanga , kama ni kweli Gadner kachemka ndoa ni kuvumiliana hata kama Jide hajabahatika mtoto alipaswa avumilie ni mkewe wa shida na raha.
 
Mimi nimeona RED ALERT aliposema ndoa kuvunjika sio peke yake hata nelson mandela yake ilivunjika, nikasema apa kuna namna kabisa duh, ila gadner kazid umalaya yule, anagonga had wanaume, halaf nasikia kamtia mtu mimba ndo maana bibie kanuna gadna anamfilis na mitoto yake haramu akaona isiwe kesi

Heeee kumbeeeeee ni balaaaaa atiii,hadi wanaume anawagongaa loo
 
Unachosahau ni kwamba masupa staa wanapenda wenyewe kuandikwa...usipoandikwa unasahaulika...wengine wanapeleka ma niwzi wenyewe...

Ukija kwa zile fumanizi za kitaa ambazo si za mastaa unachoshitaki nini wakati mi evidensi kibao...

Udaku ni magazeti kama mengine...wako kazini na wao...
Kuna kila sababu ya kuwa sue global hasa mhariri wa hilo gazeti kama kweli wahusika wanaumizwa!
Mi nawashangaa kwanini wizara ya habari inawalea sana Global kwa kudhalilisha watu? Kwanini wasiandike ukweli?
 
Shigongo a$sh@le...
Anatumia ujinga wa watanzania kufanya atakavyo....
Siku msanii akiamua kutofanya nao kazi basi anamfanyia character assassination. ....
 
Nyie global ni wahuni tu. Mlitaka jide akalala na baba zenu. Mmekaa kiumbeya umbeya tu.
Mbona hamfuatilii mambo ya maana mnahangaika na masuala ya watu binafsi.
 
Mmh jide ni mgumu sana wa kusamehe, yani ukimkosea tu jua hakuna kupatana naye milele. Afu kumbe mzee wa bamaga alimfata gardner kuomba msamaha afu still jide akachomoa duuh, jide ana roho ya kisasi kupita maelezo
 
Unachosahau ni kwamba masupa staa wanapenda wenyewe kuandikwa...usipoandikwa unasahaulika...wengine wanapeleka ma niwzi wenyewe...

Ukija kwa zile fumanizi za kitaa ambazo si za mastaa unachoshitaki nini wakati mi evidensi kibao...

Udaku ni magazeti kama mengine...wako kazini na wao...

Dada Mimi kilicho nifanya niandike ni baada ya kuona MTU aliye andikwa ana lalamika na kama MTU ana lalamika ina maana hafurahishwi hivyo anatakiwa kuchukua hatua!
 
Mmh jide ni mgumu sana wa kusamehe, yani ukimkosea tu jua hakuna kupatana naye milele. Afu kumbe mzee wa bamaga alimfata gardner kuomba msamaha afu still jide akachomoa duuh, jide ana roho ya kisasi kupita maelezo

Huyu mwanamke ana roho ngumu sana ambayo si ya kawaida.
 
Back
Top Bottom