Jide na dogo dogo gumzo mjini

Nimeshasema mara nyingi sana,wakurya,na mastaa si wakuolewa,they're just for fun.

Acha mambo ya ajabu wewe ulishasema wee kama nani? Na kama kabila lako ndilo la kuoa mbona wewe hujaolewa? Ina maana wewe ulioa wakurya wote ndio mpaka ukagundua kuwa sio wa kuoa?, Na pili nani kakwambia kuwa lady jay dee ni mkurya?
 
Heeee kumbeeeeee ni balaaaaa atiii,hadi wanaume anawagongaa loo

Gadner sio mkorofi na ni manager mzur, tatizo lake,anapenda sana uchi mno, yan too much, anapenda sana kugegeda watu, kuna ka jamaa pale nyumban lounge kinaitwa wancy sijui, kakatomb san mpak jide akajua still bad akaendelea kumsamehe ila jamaa too much
 
Mmh jide ni mgumu sana wa kusamehe, yani ukimkosea tu jua hakuna kupatana naye milele. Afu kumbe mzee wa bamaga alimfata gardner kuomba msamaha afu still jide akachomoa duuh, jide ana roho ya kisasi kupita maelezo

Yes, sio sifa nzir, sam machozi alikataa kumsamehe, clouds pia kakataa kupatana nao, kumbe na global nao walikuwa kwenye bifu na akakataa kuongea nao mpaka gadner akaingilia kati, kwa kwel huyu dada apa tu ana aribu cv yake.

Pia wakati mwingine binadamu sio watu wa kuwaamini, sam machoz alipendwa sana na jide ilikuwa kila kitu yeye, baadae akamgeuka na kuanza kumsema maneno machafu sana yeye na mumewe gadner, gpl nao ni wanafki , clouds kama wanavyojulikana ila sometimes vinyongo sio ishu na ndio maana bibi yule hanenepi kwa kuwek vitu rohon utafikr yeye malaika au mungu
 
Hahaha binamu me hapo tu napokupendea, jide unamfil sana but kwenye mapungufu yake unamsema tu. Jide inabidi ajifunze kusamehe wenzie, kinyongo au uchungu unaweza ukakukosesha baraka zako. Ana roho ya kinyongo mno, labda yeye hakoseagi mwenzetu
 
Huyu mwanamke ana roho ngumu sana ambayo si ya kawaida.

Mmh hapana kwa hapo amezidi jamani. Me sipati picha ingekuwa hamna kitu kusamehe, tungeuana daily. Najua kusahau mabaya uliyotendewa ni kazi, but atleast samehe na usiweke kinyongo, afu hamna asiyekosea jamani
 
Hakuna mtu Mnafiki Kama Eric Shigongo ..it's so unfair ..kujifanya mtu wa Mungu..ambapo tunahimizwa kuwaombea wenzetu hasa tunapoona Ndoa Zao zina matatizo,au wamechelewa kupata watoto....lakini mwenzetu Huyu Shigongo ....hayo Ndio hutumia kuyaandika negatively ili auze habari...hatukatai chombo cha habari hasa udaku kuandika haya lakini ..Kama ni habari ya kutengeneza ..hapo Ndio anajichumia dhambi...eti slogan ya magazeti " we belong to God "
 
Nyie global ni wahuni tu. Mlitaka jide akalala na baba zenu. Mmekaa kiumbeya umbeya tu.
Mbona hamfuatilii mambo ya maana mnahangaika na masuala ya watu binafsi.

Siku ikija Serikali serious haya magazeti ya udaku ni kufungia au kudhibiti ..tena yanaandika picha chafu ..na Zaidi bei yake inalenga kuuzia watoto ..na yanasababisha Watanzania wasome habari Za kufikirika na hadithi Za movie Za Nigeria copy and paste.......
Magazeti ya udaku yawekeewe Sheria ambayo itafanya bei yake iwe kubwa Sanaa Kama The sun la UK..ie ukisema iwe Tabloid yenye page 20 kwenda Juu ...umewamaliza hawa ..na Zaidi unaweka Sharti kampuni Moja haiwezi kuwa na gossip tabloid Zaidi ya Moja ....maana Hao Global wana magazeti karibu 6 na yote ni Gossip tu
 
Hahaha binamu me hapo tu napokupendea, jide unamfil sana but kwenye mapungufu yake unamsema tu. Jide inabidi ajifunze kusamehe wenzie, kinyongo au uchungu unaweza ukakukosesha baraka zako. Ana roho ya kinyongo mno, labda yeye hakoseagi mwenzetu

Mi sinaga ushabiki mavi binamu, kila kitu mtu unasifia, hizo ni dalili za upungufu wa akili kichwani, sio kama mashabiki wa mama ubaya kila siku kumsifia boss wao hata upuuzi
 
Acha mambo ya ajabu wewe ulishasema wee kama nani? Na kama kabila lako ndilo la kuoa mbona wewe hujaolewa? Ina maana wewe ulioa wakurya wote ndio mpaka ukagundua kuwa sio wa kuoa?, Na pili nani kakwambia kuwa lady jay dee ni mkurya?

Imetosha mkuu, akirudi tindikal inamuhusu
 
mama ubaya alishajibustisha sana kwa shigongo
 
Kwa mfano kama ndoa ilikua na migogoro kwa habari hizi si ka wanazidi kuchochea kuni ndoa ife........

Jide bila gadner hawez kabisa, sijui lakin labda yamfike shingoni, maana yule bwana anawavua chupi wasichana aiseeh, too much hata kama umalaya aiseeh jamaa too much, ila ndo hakuna mkamilifu, maana jamaa ni mnyenyekevu sana na ana hekima, sio mkorofi ila kwa uko chini kwa bibi sasa ndo umwambii kitu
 
Labda alihangerwa uchiiiii hhhhaaaq
 
kapten amuache tu dem mwenyewe hazai
 
Mmh,kwani yule mh."mguu" hayuko nae tena?au nafasi yake imezibwa na huyo dogo????

Mguu ni pedeshee wa kutoa pesa za miradi na maslahi mengine,dogo naona yeye anahudumiwa ili tu mnamo tano kwa tano awe na pumzi ya kukaza kisawasawa
 
Unamsingizia bhna, jide hana tatizo, kwanz alimpenda jamaa mwenyew ila mshkaj kiwembe n we no that

Jide ni kicheche tena wa chinichini,bora hata gadna anafanya hadharani,jide ni moto,mpaka sasa amewapanga wanne ila ni siri kubwa sana
 
[QUOT=Mtende;10479859]Jide ni kicheche tena wa
chinichini,bora hata gadna anafanya hadharani,jide ni moto,mpaka sasa
amewapanga wanne ila ni siri kubwa sana[/QUOTE]
Kama ni siri kubwa ww umejuaje????Acheni uongo wa globa.
 
by warumi;
Yes, sio sifa nzir, sam machozi alikataa kumsamehe, clouds pia kakataa kupatana nao, kumbe na global nao walikuwa kwenye bifu na akakataa kuongea nao mpaka gadner akaingilia kati, kwa kwel huyu dada apa tu ana aribu cv yake.

Pia wakati mwingine binadamu sio watu wa kuwaamini, sam machoz alipendwa sana na jide ilikuwa kila kitu yeye, baadae akamgeuka na kuanza kumsema maneno machafu sana yeye na mumewe gadner, gpl nao ni wanafki , clouds kama wanavyojulikana ila sometimes vinyongo sio ishu na ndio maana bibi yule hanenepi kwa kuwek vitu rohon utafikr yeye malaika au mungu

Mkuu warumi hapo blue color madawa yamechanganywa!
 
Last edited by a moderator:

Kajamaa》》》》KaKike au KaKiume...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…