Jifungie zako ndani, tazama filamu hizi

Hahhaha na zinginezo pia mkuu.

Ila mimi ni mpenzi sana wa thrillers, mysteries na horrors. Hapo ndo' uwanja wangu.

Hapo kwenye thrillers sawa, Ila horrors sio mpenzi sana. Action with some mission ndani napenda, za Upelelezi kiasi and mission in it. Napenda movies ambazo akili yangu pia inapata kazi ya kujua what next and I can’t predict
 
Waleteeeee!!!
 
Samahani jamani. Naomba nisaidiwe app nzuri au website ya kupakua hizo movies bure kabisa.
 
Siku hizi nimekuwa mzito wa movie,, tena kwenye Tv ndo siweziii.. heri kwa PC naweza jitahidi
 
Movie gan hizo?? Zaman nlikuwa napenda movie za aina hii ila kwa sasa nmeachana nazo..! Sasa napenda movie za ucheshi na stori za maisha...!
Kuna movie moja inaitwa THE BANKER itafute hii kama ww ni kijana mpambanaji bas itakutia moyo sana
 
The Banker ni filamu ya hadithi ya kweli. Harakati za mtu mweusi katika sekta ya Fedha kipindi cha ubaguzi wa rangi.

The guy alikuwa so smart.
 
The Banker ni filamu ya hadithi ya kweli. Harakati za mtu mweusi katika sekta ya Fedha kipindi cha ubaguzi wa rangi.

The guy alikuwa so smart.
Now napenda filamu hizo hasa documentary na nkikosa bora niangalie katun na madogo nicheke[emoji23][emoji23] ila zaman kwenye horror movie, scuencefiction movie na zile za kutisha kama wrong turn na chainsaw massacle mtiririko wa movie moja ya kutisha atar ndio nilikuwa napenda sana....!!

NB:
Nahis Roho wa Mungu ameingilia kati mana ukizoea kukiona kitu kinakuwa cha kawaida na ni rahisi hata ww kukitenda
 
Kwahyo mkuu unamaanisha nini kwa sie tupendao horror? [emoji1][emoji1][emoji1] Tutaishia kuwa walozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…