mwamba ngoma uvutia kwake
Wakuu niko nafatilia haka ka Mzigo
View attachment 159002
Nacho taka kujua ni
1. Kwakutumia USPS mzigo unapokelewa wapi?
2. Hizo time ni za Timezone ipi
Cc.
njunwa wamavoko
Mwl.RCT
@C6
Posta wana tabia mbaya mzgo kama hauna track wanaficha nilinununa iphone ebay nilikanyaga posta ka mwezi hivi kule aliyeniuzua ananiambia nilshatuma na imefka kuja posta holaa ahaa siku nikakomaa posta nikasema sitok hapa mpka mzgo na kweli ulikuwa umefika ka wiki!!
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Posta wana tabia mbaya mzgo kama hauna track wanaficha nilinununa iphone ebay nilikanyaga posta ka mwezi hivi kule aliyeniuzua ananiambia nilshatuma na imefka kuja posta holaa ahaa siku nikakomaa posta nikasema sitok hapa mpka mzgo na kweli ulikuwa umefika ka wiki!!
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
shipping inategemea ni wapi mzigo unatoka, mfano mzigo unaotoka marekani na mwingine unatoka hongkong bei itakuwa tofauti, au mzigo unakuja kwa meli au kwa ndege bei zinakuwa tofauti na uwa wanazitaja,
kama huna haraka na mzigo chagua free shipping
kwenye anwani uliyoandika, mostly ni posta, maana hatuna anwani tofauti
Hiv vp kuhusu western union hko haku2mik kusafrisha
Mkuu NingaR ni rahisi kujaribu mm nilianza na kitu cha bei chee nione ka ntatozwa ushuru na kama kitafika
Kilifika bila shida nakilinifikia mm maana,kilikuja,na jina langu na mm nkawaonesha ID yangu wakanipa
kilifikia posta? Na je vipi kuhusu makato ya posta?
Baada ya kusoma hii mada nami nilisema ngoja nijaribu kununua kitu ebay,kwa kuanzia niliamua kununua kitu cha bei rahisi
Nilifungua account ya Paypal nikalink na account yangu ya Equity Bank then nikanza mchakato wa kuchagua kitu cha kununua.Seller niliyenunua kwake alikuwa na rating ya 96.3%
Nilibid Power bank ya 20,000mAh nikashinda kwa $16.28 ambazo ni Tshs. 28,000 ilikuwa tarehe 24/May/2014 nikalipia through paypal 28/05/2014 nikachat na Seller akaniambia" it will take 15-20 working days".Mzigo ulifika 10/06/2014 nikaenda kuchukua Posta na nikaukuta uko poa,Hakuna gharama yeyote niliyolipia Posta na item ilikuwa free shipping
Nina mpango wa kununua tablet siku za mbele
Thanx for the feedback. Bank haikukucharge gharama zozote kwa ajili ya transaction hiyo?