Ok wauzaji Wengi toka US hawana option ya kutuma huku Africa, cha kufanya ni kama una mtu kule iende kwake na mara nyingi within US inakuwa free shipping then huyo mtu wako afanye utaratibu wa kukutumia huku
ladyfurahia una take risk tu hope siku moja vitafika!!@
Mkuu pitia hiinthreadnkuna kitu cha kujifunzaMkuu nimependa sana, niliwasiliana na ndugu yangu ili anunue yeye anitumie, akasema, lazima nilipie ushuru na mambo kibao, ila pia sijajua gharama za kutuma kuja huku haiwezi kuwa very expensive? Na mzigo kama tv, unaweza kufika bila kuharibika kweli? Naomba unijuze mkuu!
ladyfurahia for the first my item (watch) nilionunua ebay from Germany imefika within ten days leo nimeenda posta nakuta mzigo wangu.... its possible ila tablet ndo juu kwa juu mpaka leo kimya...tthanks ngoja nijaribu kidogo tuone
unajua kila kitu au jambo unajaribu ukiona chafaa unaingia kukifanya
wakuu tafdhali naomba kujua kuhusu kodi, ni kwamba tofauti na dhl hizo kampuni nyingne za usafirishaji kama posta na nyingnezo nazo pia suala la kodi ni lazima ulipie? kwa mfano nimeagiza simu au nguo za kuvaa labda moja hii imekaaje wakuu naomba kujuzwa maana nimekuwa inspired sana na hii mostly ktk bei ni very cheap.
Jamani wadau vp Kuhusu kaymu hapa bongo kwa kuuza vitu on line hawana usani wowote Na je ukinunua kitu kn line unaletewa kweli au magumashi tuuu mnajua tujuzane wakuuuu
mkuu njunwa hivi paypal wanakata fedha unapofungua account ya paypal? naomba uzoefu wako?
Mkuu ahsante kwa muda wako.Wanakata 1.9$ ambayo wanadai ni refundable ila mm huwa sioni
kwahiyo inatakiwa nikishafanya transaction ya kwanza nikachukue bank statement, na siwez kufanya transaction zaidi ya moja kabla sijafanya verification?Inakuwa refunded mara unapo verrify account yako ya paypal. Verification code inapatikana kwenye bank acc statement yako on the first transcation you made with paypal.