Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu!!
Nimekuwa nikitamani sana kununua vitu kama vitabu, vifaa vya kielektroniki nk katika mitandao. Naona watu wengi wananunua Bestbuy, Amazon na Ebay.
Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekuta mitandao wa Manufacturers, Suppliers, Exporters & Importers from the world's largest online B2B marketplace-Alibaba.com na pia Hot mobile phones, tablets online sales, Electronics Products online shop In the Middle East | Kingsouq.com kwamba unaweza kununua vitu kutoka kwao. Nimeona wana bidhaa nzuri sana na zinauzwa bei nafuu sana.
Ombi langu kwenu na hasa kwa wenye ufahamu. Vipi uaminifu na uhakika wa Manufacturers, Suppliers, Exporters & Importers from the world's largest online B2B marketplace-Alibaba.com na Hot mobile phones, tablets online sales, Electronics Products online shop In the Middle East | Kingsouq.com Maana nisije nikauvaa mkenge.

naombeni kujua kiundani zaidi kuhusu hiyo 22,000/=inauokatwa na CRDB kwa kila online transaction, ...alaf pia katika kumalizia kulink CRDB na PayPal wamenambia nisubir code kupitia statement, naombeni kujua je ntazipata vipi?
Mkuu angalia pm yangu.kama ni for single user strictly kama antivirus basi uki uninstall ndo imeisha hivo nafikiri
Ila kuna software nyingine ali mradi una keys basi hata rafiki zako wanaweza kutumia.....
Kilichonichekesha ni hicho tu cha Kulipia Utube downloader wakati ziko free
Hivi nikitaka kuagiza kitu kwa eBay ni lazima niwe na credit card!?
kimekuja na posta, nilitumia slp ya mwanza, so nimekikuta mwanza home nilipofika.
pale jambo la muhimu ni kuangalia wauzaji, wapo ambao wanajulikana, pia angalia shipping bure au unalipia? maana kama shipping ni bure ujue itachukua wiki 3 mpaka 4, kama ni kulipia inachukua less than 7days inategemea wapi unaponunulia.
chief-mkwawa ningeweka picha ya box uone walivyoandika ila kuna jina langu halisi, ntakutumia kwa whatsapp.
cc DecisionMaker