Mkuu
C6 unaweza kutusaidia hapa ufafanuzi,labda nijibu nijibu majibu kadhaa katika hayo hapo,kwanza mkuu wangu me sina account ya CRDB naona mizinguo tu hao me natumia Barclays nina account ya Shillings,Pound na Dollars so sipo sure sana kwa hao CRDB wenyewe process zao zinakuwaje hasa ila kwa jinsi ninavyojua upande wa Barclays mfano me nikinunua anything with online banking huwa sikatwi amount yoyote ile seller ndio anakatwa kila kitu,kuhusu kwenye makato hamna anayeangalia bidhaa gani umenunua hiyo haijalishi mkuu wangu....
Nimegundua hizi bank za Tanzania wizi mwingi sana unafanyika na wanawaumiza sana wananchi kwa ---- service na charge za ovyo ovyo zisizokuwa na maana yoyote ile ila still nashangaa watu bado wanaangaika na bank za CRDB....
Nadhani kuna majibu mengine sijajibu maana sina uwakika nayo hasa ila mzigo wako kutumia postal fulani ni hatari bora ufikie ofisini kwa mtu moja kwa moja ni bora zaidi ila ukisema ufatilie kwenye postal wanazingua sanaaaa.....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums