Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Kama umeridhika na hiyo descrption ya item nunua maana mambo ya paypal unakuwa na peace kawaida tu

Lkn hizo 8MP inamaana camera yake imezidiwa na simu
Mm nimezoea 16MP ndo camera standard
Mkuu skwenye hiyo link, nimepitia bidhaa mbalimbali, ila sijaona sehemu ya ku-order, naomba nieleweshe plse.
 

Mkuu ukiwa na vyote, card na paypal, na unataka kununua vitu, una-log in kwenye paypal halafu ndo unatafuta vitu vya kununua au unaingia mfano ebay kwanza, ukipata cha kununua ndo uki buy kitu ndio utapelekwa paypal ku-sign in?

Naomba maelezo plse.
 
Mkuu ukiwa na vyote, card na paypal, na unataka kununua vitu, una-log in kwenye paypal halafu ndo unatafuta vitu vya kununua au unaingia mfano ebay kwanza, ukipata cha kununua ndo uki buy kitu ndio utapelekwa paypal ku-sign in?

Naomba maelezo plse.
Mkuu unaenda kwenye website unayotaka kununua kitu unachagua kitu kabisa kisha mahala pa kuchagua namna ya kulipa utachagua option ya kutumia paypal na automatically utapelekwa kwenye website ya paypal ambako utalogin na kulipia bidhaa uliyochagua. Kwa kawaida kwenye website wanazouza bidhaa huwa wanatoa option nyingi za kulipia kama vile Visacard, mastercard, maestro, paypal n.k.

Wewe unachagua unayotaka; kwa usalama wa pesa zako ni bora kutumia paypal kama agent wa malipo. Kwa website ya Amazon hawapokea paypal so mm huwa nanunua directly kwa kutumia kadi na huwa nafanya hivyo kwakuwa amazon wanaaminika dunian kote but wakiwa na paypal nitatumia maana ni salama zaidi. Ebay wanatumia paypal ndio maana huwa naona amani zaidi kununua ebay.
 
Asante sana Tarakilishi
 

Kwenye bold sijaelewa mkuu.
 

Samahani mkuu naomba kujuzwa kuhusu amazon, nimekuwa nikitumia ebay muda mrefu sana, nahitaji kufahamu kama kuna sellers amazon wana ship directly Tanzania ukiacha thirdparties wakina myUS?
 
Samahani mkuu naomba kujuzwa kuhusu amazon, nimekuwa nikitumia ebay muda mrefu sana, nahitaji kufahamu kama kuna sellers amazon wana ship directly Tanzania ukiacha thirdparties wakina myUS?
- Wapo, ila ni wachache sana
- Mfano huyu seller: http://v.ht/Hmnk
- Anatuma direct kuja tanzania kwa USD $10 tu

- Twaweza sema hivi asilimia 75 ya sellers wa amazon hawatumi kuja Tanzania
- Hivyo huduma toka third parties inakuwa haikwepeki.
 
vp kwa sasa ukiagiza bidhaa through alibaba unawezapata
 
Naombeni msaada jaman nmekuwa nikinuna vtu toka eBay na aliexpres Ila kinachonishangaza mizigo yangu yote inayotumwa ikiwa na tracking number huwa inanifikia lakin ile ambayo nilinunua bila kupewa tracking number cijawahi pokea hata mmoja (na n zaid ya miaka mitatu nimekuwa nikfanya manunuzi mtandaoni) mtu yeyote anipe ufafanuz juu ya hili asee kama ashawah experience.
 
Mkuu mara nyengine ukitaka kununua kitu tuagizishie tutakutumia hadi dar lakini kutizama quality ni juu yako sisi mzigo hatufungui unless tuwe na wasiwasi nao karibu sana mkuu premierfreights kutoka UK.
 
Je ni hatua gani umechukua baada ya kutopokea mizigo yako isiyo na tracking number?

- Ebay wanakutaka usubiri kwa siku 30 tu - iwapo hujapata mzigo, unatoa taarifa na unafanyiwa Refund instantly.
- Aliexpress ni ndani ya siku 60 iwapo hujapata mzigo wako unapata Full refund
 
Wakuu nimeagiza kitu hii ni first time kutumia Ebay sasa nina app yake nikicheki Item naambiwa Delivery in progress ni siku ya 18 sasa je bado hakijafika au niwacheki posta?
 
Wanajamvi naomba msaada kidogo,nilkuwa na update account yangu ya pay pal ili niweze kuwa naitumia.Nime add tembocard master card ikagoma error message "this card is not accepted" nika add tembo card visa ikakubali.Je tatizo linaweza kuwa ni nini na hii mastercard,card bado haija expire na haijatumika kwenye account yoyote ya paypal?Nilitaka nitumie mastercard kwani inabeba account ya dollar na ninataka niitumie account hiyo maalum kwa malipo ya nje,hii ya visa sipendi iko kwenye Tsh na mshahara unapita huko.

Msaada tafadhari.
 
Umeshasajili itumike online? Maana last time natumia CRDB hadi ujaze fomu uisajili card itumike online ndio wanaifungua.
 
umeshasajili itumike online? maana last time natumia CRDB hadi ujaze fomu uisajili card itumike online ndio wanaifungua
Nilihisi hicho kitu,bado sijaisajili.Inawezekana ikawa ni sababu pay pal hawa i accept mpaka iwe imewezeshwa kutumika online?lakini ya visa sijaisajili na imekubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…