Yeah naungana na mdau hapo juu kwamba Aliexpress wako vizuri, nilinunua items tatu, mbili zililifika within 4weeks na nikaenda posta kuchukua at no cost, ila item moja bado, tracking imekuwa ngumu posta wanasema bado haijasifika, ebay nilinunua mashine ya kunyolea kutoka Japan, ilifika ndani ya wiki tatu nayo nikaichukua posta bila shida, kuna risk kidogo na benefits unapofanya online purchase, haf ni vizuri kuwa na akaunti mbili za benki, moja maalum kwaajili ya manunuzi na nyingine kwaajili ya top up