Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mkuu unaweza nisaidia na mimi nikaanza kufanya manunuzi online
Ukiupitia huu uzi utapata ABC za nini cha kufanya ili kufanya manunuzi mtandaoni.
hivi kwanini USA na UK hawatumi mizigo Africa haswa tz kama sikosei
Ni kweli baadhi ya wauzaji hawatumi huku africa bidhaa wanazo uza. Kila seller huwa na sababu yake kwa nini hatumi africa. Ila wengine huepuka ghalama za usafiri ambazo huzidi thamani ya manunuzi

Hapa nitakupa mfano hai.
- Ukiangalia hii item: 04-06 LEXUS RX-330 HEADLIGHTS FRONT LAMPS PAIR SET HID ONLY | eBay


- Inauzwa USD 192 tu, Ebay wamenitaka kuwasiliana na muuzaji, baada ya kuwasiliana naye, hii ndio ghalama ya kutuma tanzania USD 239.97



- Hivyo kuna seller wako tayari kutuma africa (tanzania) moja kwa moja iwapo mnunuzi utakuwa tayari kulipia hiyo ghalama.
- Ila item hiyo hiyo iwapo inapokelewa USA ni muuzaji hutoa kwa FREE SHIPPING.
-Nimetolea sababu moja tu. ila zaweza kuwepo sababu zingine
hivi nawezaje kuagiza mzigo kupitia dhl tz
- DHL ni msafirishaji wa bidhaa uliyonunua,
- Ili usafirishiwa kwa DHL ni wajibu wako kuwasiliana na muuzaji kabla ya kufanya malipo, ili akupe hesabu itakayojumuisha ghalama za DHL, usipo wasilina na muuzaji kuhusu hili, yeye atatuma kwanjia aliyoiainisha katika ukurasa wa manunuzi. Huwa iko wazi.

Je bado unahitaji msaada wa kusafirishiwa bidhaa kutoka nje ya nchi.
- Pitia hii thread: www.v.ht/buy4me
- Nitakusafirishia mzigo wako kutoka mahala popote utakapo nunua. Bila kujali muuzaji anatuma africa au hatumi, utakufikia tu.

Simu: 0717 54 57 62
 
Ahsante mkuu nitakutafuta soon
 
Ni kweli kuna njia nyingi za kufanya manunuzi ebay lakini njia nyingine hii watu wanatumia kwa urahisi ukiwa na akaunti ya paypal, download hapa Download Pay Pal the most loved way buy items worldwide using online shops like EBay docx
- Hii link uliyoweka ina matangazo mengi mno na inasumbua

- Ila nimefanikiwa kudownload doc. uliyo upload, nimeiweka kwenye PDF.

- Content yote ya upload yako ni Copy & paste ya hii thread: Fahamu Jinsi ya Kulink/Kuregister Paypal account Tanzania [ Credit to Techintz]

- Na thread nyingine ya kujifunza zaidi ni hii : How do we get to paypal code from CRDB bank statement to activate paypal debit card?
 

Attachments

Asante kiongozi,najua utakuwa umewasaidia wengi ktk hili ubarikiwe.
 
Wadau!
Msaada tutani! Nilinunua saa mtandaoni kwenye hii site mvmtwatches.com. Yapata mwezi na nusu sasa sijapata mzigo wangu! Nimejaribu kufuatilia lkn nimejibiwa kuwa mzigo ulipotea kwenye transit! Kama kuna yeyote mwenye uelewa zaidi tafadhali sana anipe mawili matatu.
Hii tarifa ya kuwa mzigo umepotea nimejibiwa baada ya kuomba refund ya pesa.
 
Yapata mwezi na nusu sasa sijapata mzigo wangu!
Je kwa nini ulisubiri hadi Mwezi na nusu upite, wakati wao wametoa siku maximu 20 tu kwa free shipping

Kwenye international shipping FAQ - wamezungumzia shipping information unapewa ndani ya siku mbili,Je baada ya siku mbili tangu ufanye malipo ni taarifa zipi ulipewa?

Je ulitumia njia ipi ya malipo? amazon au ipi?
 

Kwasababu ya sikukuu mzigo unaweza kuchelewa mpk january mwanzoni! Hayo ndo maneno yao!
 
wakuu samahani nipo nje ya mada mm naulizia aliexpress nipo arusha na mzigo wangu ni free shiping jee ukifika dar utasafirishwa. mpaka arusha
 
jaman vp kuhusu kodi mfano nimeagiza saa zangu tano jee nitakatwa kodi kubwa sana?
 
jaman vp kuhusu kodi mfano nimeagiza saa zangu tano jee nitakatwa kodi kubwa sana?
Mkuu kwa mtazamo wangu nimefuatilia kwa kiasi uzi huu na nimegundua kwamba bado sintofahamu nikubwa sana hivyo ni vizuri kuchukua hatua binafsi kama kuongea na muuzaji ili kujiridhisha then ongea na kampuni kama Dhl na fedex kujiridhisha then ongea na watu wa ushuru katika viwanja vya ndege na bandari ili usije ukajilaumu. Na kama hutapata info ya kutosha waweza weka hata 25% ya kodi just incase ikiwepo. Kumbuka tunapenda kununua vitu nje ya nchi ili kuepuka gharama kwa hiyo huna haja ya kununua nje kama bongo kipo kwa bei nafuu. Lakini kumbuka pia vitu vingi vinatoka china hatakama vinauzwa US na ULAYA. huo ni mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…