davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 644
- 156
Kwa kawaida huwa kunakuwa na muda maalum wa ku clear miamala ya kibenki. Mfano, nlienda south africa nikafanya manunuzi kwa kutumia mastercard yangu na pia nilitoa fedha kwenye atm za kule. Kilichotokea ni kuwa zile fedha hazikutolewa kwenye account yangu ila wslizishikilia kwa mwezi mzima kiasi kwamba huwezi kuwithdraw pesa. Yaani kwenye salio zinaonekana lakini huwezi kutoa. Hii ni kwa mujibu wa sheria zao za kibenki. Lengo ni kukupa fursa kuwa kama hukufanya miamala hiyo kwa vyovyote utaenda kuuliza kwann fedha zako zimedhikiliwa na kama usipoenda zikifika takribani siku thelathini hivi ndio wanaclear huo muamala. Jaribu kuicheki account yako huenda una miamala mingi ambayo umeifanya ndani ya muda mfupi na yote haijawa cleared. Wakati mwingine ukienda benki na ukakiri kufanya miamala hiyo itakuwa rahisi ku clear account yako
Well said, kwa kweli kuna kitu wanahitaji kutoa hii elimu kwa wateja wao ili tuweze kuelewa. Hata hivyo nashkuru pesa yangu iliyokuwa refunded imerudishwa kwenye account yangu, pia miamala niliyofanya umekuwa cleared.