Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Kwa kawaida huwa kunakuwa na muda maalum wa ku clear miamala ya kibenki. Mfano, nlienda south africa nikafanya manunuzi kwa kutumia mastercard yangu na pia nilitoa fedha kwenye atm za kule. Kilichotokea ni kuwa zile fedha hazikutolewa kwenye account yangu ila wslizishikilia kwa mwezi mzima kiasi kwamba huwezi kuwithdraw pesa. Yaani kwenye salio zinaonekana lakini huwezi kutoa. Hii ni kwa mujibu wa sheria zao za kibenki. Lengo ni kukupa fursa kuwa kama hukufanya miamala hiyo kwa vyovyote utaenda kuuliza kwann fedha zako zimedhikiliwa na kama usipoenda zikifika takribani siku thelathini hivi ndio wanaclear huo muamala. Jaribu kuicheki account yako huenda una miamala mingi ambayo umeifanya ndani ya muda mfupi na yote haijawa cleared. Wakati mwingine ukienda benki na ukakiri kufanya miamala hiyo itakuwa rahisi ku clear account yako

Well said, kwa kweli kuna kitu wanahitaji kutoa hii elimu kwa wateja wao ili tuweze kuelewa. Hata hivyo nashkuru pesa yangu iliyokuwa refunded imerudishwa kwenye account yangu, pia miamala niliyofanya umekuwa cleared.
 
Wadau kuna yeyote ambaye amewahi kununua kitu kutoka Ali express. Nataka kununua kitu huko so wish to get experience yenu.
 
Nime-win bid ya saa,seller yuko Japan ananiambia Posta ya Japan haiwashauri kutuma bidhaa Africa,nimemuuliza DHL anasema haijui .Kuna njia nyingine ninayoweza kutumia mzigo ukafika Tanzania?

Cc Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko NingaR
@T02004 UncleUber Paul S.S
 
Attachments

  • 1432972650502.jpg
    1432972650502.jpg
    32.2 KB · Views: 287
Last edited by a moderator:
Wadau naomba kuuliza hivi calculations za tax wanatumia formula ipi, Maana mzigo wangu umepitia dhl dar wanasema hadi watu wa custom waangalie na kupitia kiwango cha kodi.
 
Chuoni kuna Post office hivo mizigo inaletwa pale afu inapelekwa kwa Masijala(wanao husika na records za vitu) afu kama kuna namba wananiiita au mm naenda kufuatilia

mkuu kumbe naweza kuweka anuani ya chuo changu?
 
vipi wadau kuna baadhi ya seller wanasema we don't ship to p.o box, kwa Tanzania unweza kutumia nn mbali na p.o box?
 
Wakuu,

Tumekuwa tukifundishana sana namna ya kununua online na kwa elimu hiyo tumeweza kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Sasa tuangalie na kuuza pia.

Nikitaka kuuza kitu online kwenye hizo sites nilizotaja tunafanyaje?
 
bora uuze olx na kupatana huko mana kwa eBay na haya mambo ya PayPal naona itakua tabu hasa ukizngatia bado ni shida kidogo kwa bank zetu kupokea hela kwa PayPal.
 
bora uuze olx na kupatana huko mana kwa eBay na haya mambo ya PayPal naona itakua tabu hasa ukizngatia bado ni shida kidogo kwa bank zetu kupokea hela kwa PayPal.

Lakini kama nimeweza kununua kwa kutumia paypal..........kwa nini nisiuze na kupokea hela kwa hiyo hiyo PayPal.........?........
 
Lakini kama nimeweza kununua kwa kutumia paypal..........kwa nini nisiuze na kupokea hela kwa hiyo hiyo PayPal.........?........

Mfumo wa nchi yetu hauruhusu
 
pretta na Osaba suala la kuuza online linawezekana ila utakuwa ukipokea malipo yako kupitia Paypal kama una Visa Cash Card ya Banc ABC (sijui kwa bank nyingine kama zinatoa maana hawa wanakuuzia card tu bila akaunti)
 
Last edited by a moderator:
pretta na Osaba suala la kuuza online linawezekana ila utakuwa ukipokea malipo yako kupitia Paypal kama una Visa Cash Card ya Banc ABC (sijui kwa bank nyingine kama zinatoa maana hawa wanakuuzia card tu bila akaunti)

Utaratibu wa kupata hizi kadi ukoje,ni kama kufungua bank account ?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mnisaidie jinsi ya ku-sign up Paypal, najaza form vizuri but naona bado inazingua, pia Postal code yetu ni ipi?
 
Utaratibu wa kupata hizi kadi ukoje,ni kama kufungua bank account ?

Nenda na kitambulisho chako chochote chenye picha yako, waambie nataka kufungua akaunti kwa ajili ya online shoping watakupatia fomu ujaze kuna za aina mbili visa cash card tshs.5000 na visa travel money usd 20.kazi kwako
 
Back
Top Bottom