Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Nenda na kitambulisho chako chochote chenye picha yako, waambie nataka kufungua akaunti kwa ajili ya online shoping watakupatia fomu ujaze kuna za aina mbili visa cash card tshs.5000 na visa travel money usd 20.kazi kwako

Tofauti zake ni nin?
 
Lakini kama nimeweza kununua kwa kutumia paypal..........kwa nini nisiuze na kupokea hela kwa hiyo hiyo PayPal.........?........

Paypal haijaruhusu tanzania kupokea fedha direct theough paypal.
 
Kwa kutumia kadi gani mkuu? Niambie umefanyaje mkuu

Visa cash card ya Banc ABC , log in kwa PC kwenye profile yako utaona sehemu ya ku upgrade paypal account kwa ajili ya kupokea malipo uki bofya hapo utaletewa fomu uijaze ikiwa na sehemu ya kuchagua aina ya biashara. Uzuri wa Banc ABC pesa ikiwa refunded inaingia direct kwenye kadi yako maana namba za kwenye kadi yako ndio akaunti yako hivyo waweza kuwithdraw kwenye ATM yoyote inayosuport visa
 
Hii ndio point inayonifanya nihame toka CRDB
 
Usihame mkuu, hawa wapo vizuri kwa maswala ya online shoping sijui kama huduma nyingine wapo vizuri maana hakuna kizuri kilichokosa kasoro, kuna mdau humu aliwalalamikia huduma kwa wateja kuhusu akaunti ya akiba
 
Visa cash card ya Banc ABC , log in kwa PC kwenye profile yako utaona sehemu ya ku upgrade paypal account kwa ajili ya kupokea malipo uki bofya hapo utaletewa fomu uijaze ikiwa na sehemu ya kuchagua aina ya biashara. Uzuri wa Banc ABC pesa ikiwa refunded inaingia direct kwenye kadi yako maana namba za kwenye kadi yako ndio akaunti yako hivyo waweza kuwithdraw kwenye ATM yoyote inayosuport visa

Hawa jamaa(Bank ABC) wako vizuri tatizo hawajafanya marketing ya kutosha
 
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.

Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.

Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.

Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.

Mzee nitakutafuta unipe maelekezo. .mie nina HTC D7 kioo kilipasuka karibu mwaka sasa mafundi ni porojo hakuna lolote
 
Back
Top Bottom